Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

Mimi nilikua mtu nisiependa kusoma tokea niko mdogo mpaka kufika chuo kikuu japo nilipokua mdogo nilikua sipendi kusoma na sikiwahi kufeli..

Nilivyofika chuo na ule u free mwingi Mimi ndio nilikua mtaalamu wa movie mpya mpya, nikapanga gheto nje yani habari za chuo sina quiz washikaji wananifanyia. Naenda chuo usiku kudownload movie tu.

Chuo niligraduate na GPA ya 1.9 hata sijutii.
Umeupataje ualimu, maana kuna mada umesema ni mwalimu
 
Umeupataje ualimu, maana kuna mada umesema ni mwalimu
O-level div 2, advance 2 PCB , chuo nikasoma physics..ajira nikapata miaka hiyo Morogoro huko, chuo nilikuwa nazingua sio kwamba sikuwa na akili sikuwa serious na masomo tu, japo sijawahi kupenda kusoma tokea nikiwa primary. Na kilichonifanya nisitilie mkazo chuo course nyingi ni zile tumeshazisoma advance huko, electronics, optical instrument, electromagnetism na nyingine nyingi, so nilikuwa naenda kwenye mtihani tu.
 
Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na mwalimu wako sababu wote mnamfukuzia binti fulani, kufanya starehe kwa kupitiliza mpaka unasahau kilichokupeleka ni baadhi ya kati ya mengi.

Je ulishawahi kukutana na kisanga gani mpaka ukapaona chuoni kama uwanja wa vita? Uliweza kurudi kwenye mstari au mpaka leo bado ni majuto tu?
Changamoto kubwa nlioipata first year ni manzi kuja geto na kushindwa kumla .....baada ya kushindwa mbinu due to the effects of domo zege
 
Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na mwalimu wako sababu wote mnamfukuzia binti fulani, kufanya starehe kwa kupitiliza mpaka unasahau kilichokupeleka ni baadhi ya kati ya mengi.

Je ulishawahi kukutana na kisanga gani mpaka ukapaona chuoni kama uwanja wa vita? Uliweza kurudi kwenye mstari au mpaka leo bado ni majuto tu?
Sitomsahau msimamizi wa Research yangu ya Masters, DR BARBARA, huyu dada wa kizungu kwanza alikuwa mdogo kiumri kwangu lakini madharau kama yote. Anataka Jumamosi na Jumapili iwepo maabara asipokuona msala.

Ukisema inaundwa basi upeleke cheti cha daktari. Ukiandika ukampelekea kazi hasominkwa wakati, kama kesho ndio DEADLINE leo atakurudishia kazi na masahihisho KIBAOOO inakubidi ukeshe kukamilisha kazi. Siku nimegraduate nimempita kama simjui. Akanitumia meseji Oooh kuna nafasi za PHD nataka nikupe uje maabara tena.....nikampa BLOCK kabisa...maana angekuja kunipa kesi ya jinai bure kwa kipigo
 
Starehe za kupitiliza pombe sana na nilikuwa sina mkopo.
Nlijikuta nimetafuna ada yote ikabidi nipostpone nikatafuta hela next year nilifanikiwa ku graduate.
Na advance nilikula ada ya mwaka mzima 1.4m mpaka leo sijaclear najuta sana instead huwa natumia loss report kwenye harakati za kusaka ajira.
 
walau umepata funzo kupitia hayo
 
Nilipiga sup nikashindwa kuchomoa nikawa na third attempt

Daah kila nikikumbuka matokeo yangu nakuwa na huzuni tu maana nikishikwa tena hiyo ni retake siendelei mbele

Na somo gumu sana na PROf mnoko alinikariri baada ya kumfuma mtu ananifanyia quiz Ali note jina langu mwenzangu alimsamehe

Semister zote mbili za mwaka wa pili sikuishi kwa amani nilijua kabisa hapa mwaka wa 3 sitoboi
 
Nilipiga sup nikashindwa kuchomoa nikawa na third attempt

Daah kila nikikumbuka matokeo yangu nakuwa na huzuni tu maana nikishikwa tena hiyo ni retake siendelei mbele

Na somo gumu kisenge na PROf mnoko alinikariri baada ya kumfuma mtu ananifanyia quiz Ali note jina langu mwenzangu alimsamehe

Semister zote mbili za mwaka wa pili sikuishi kwa amani nilijua kabisa hapa mwaka wa 3 sitoboi
vipi mwaka wa tatu, ulifanikiwa kutoboa bila zengwe?
 
Mimi tukio la chuo ambalo sitolisahau ni mwaka wa kwanza.

Hostel room tulipangwa wa 4. Sasa mambo ya kike tena roommates wangu watatu wakaungana wakaninunia halafu wakawa wananipiga vijembe live. Wakavuka mipaka wakawa wananiharibia vitu vyangu. Mfano, nikitanyika kitanda wanatoa shuka na kuvuruga nikiwa sipo.

Sasa hiyo siku kama Mungu. Naenda class nikawa nimesahau notes room. Nikarudi kabla hata sijamaliza kushuka ngazi. Nikavikuta vinavuruga vitu vyangu.

Hasira ilinipanda nikaona liwalo liwe. Nikakamata mmoja nikamtembezea kichapo wakaingilia wale wawili. Nikawachanganya wote. Nikawapiga wote. Yaani walinichangia watatu lakini walichapika haswa hadi vikakimbia nje vingine havijavaa hata nguo.

Baadae warden akatuita tukatakiwa tufukuzwe hostel.
Ulikua unatandika wote wawili 😀 sipati picha ulivyokuwa unarusha mikono kama jackie chan vile 😃😃
 
Tulipogundua kwamba chuoni hawana kawaida ya kufuatilia watu walio feli(discontinue) tukaunda team ya watu kama saba na kutengeneza vitambulisho fake vya watu walifeli kuendelea na masomo mara tu baada ya orodha kutoka ubaoni kuonyesha kweli wamefeli.Kweli tukafaniki kuchukua zile pesa dirishani (enzi hizo pesa haitumwi kwenye benki account) na kugawana kadri ya ushiriki wa kila mmoja wetu.Kasheshe ilikuja baada ya mmoja wa waliofeli kujitokeza kupinga kuwa hajafeli (kukata rufaa) na kukuta pesa yake imechukuliwa.....ilikuwa mbaya maana yule aliyechuykua pesa alikuja kujulikana na kusimamishwa masomo na kutakiwa kuzirudisha pesa zote
😀😀😀nyie mnaiba pesa aisee kama hamkufukuzwa mshukuru sana
 
Sikuwahi pata sup mpaka mwaka wa 3 nikajimix nikamfanyia quiz pisi flani lecture akagundua kiufupi nilisup...nikacarr...baada ya kulia sana ndo akaniambiaa komaa upate marks nzuri utapita akaniachia ila nilikoma.
😂 😂 😂 pisi ikakuponza
 
Back
Top Bottom