Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

Umeupataje ualimu, maana kuna mada umesema ni mwalimu
 
Umeupataje ualimu, maana kuna mada umesema ni mwalimu
O-level div 2, advance 2 PCB , chuo nikasoma physics..ajira nikapata miaka hiyo Morogoro huko, chuo nilikuwa nazingua sio kwamba sikuwa na akili sikuwa serious na masomo tu, japo sijawahi kupenda kusoma tokea nikiwa primary. Na kilichonifanya nisitilie mkazo chuo course nyingi ni zile tumeshazisoma advance huko, electronics, optical instrument, electromagnetism na nyingine nyingi, so nilikuwa naenda kwenye mtihani tu.
 
Changamoto kubwa nlioipata first year ni manzi kuja geto na kushindwa kumla .....baada ya kushindwa mbinu due to the effects of domo zege
 
Sitomsahau msimamizi wa Research yangu ya Masters, DR BARBARA, huyu dada wa kizungu kwanza alikuwa mdogo kiumri kwangu lakini madharau kama yote. Anataka Jumamosi na Jumapili iwepo maabara asipokuona msala.

Ukisema inaundwa basi upeleke cheti cha daktari. Ukiandika ukampelekea kazi hasominkwa wakati, kama kesho ndio DEADLINE leo atakurudishia kazi na masahihisho KIBAOOO inakubidi ukeshe kukamilisha kazi. Siku nimegraduate nimempita kama simjui. Akanitumia meseji Oooh kuna nafasi za PHD nataka nikupe uje maabara tena.....nikampa BLOCK kabisa...maana angekuja kunipa kesi ya jinai bure kwa kipigo
 
Starehe za kupitiliza pombe sana na nilikuwa sina mkopo.
Nlijikuta nimetafuna ada yote ikabidi nipostpone nikatafuta hela next year nilifanikiwa ku graduate.
Na advance nilikula ada ya mwaka mzima 1.4m mpaka leo sijaclear najuta sana instead huwa natumia loss report kwenye harakati za kusaka ajira.
 
walau umepata funzo kupitia hayo
 
Nilipiga sup nikashindwa kuchomoa nikawa na third attempt

Daah kila nikikumbuka matokeo yangu nakuwa na huzuni tu maana nikishikwa tena hiyo ni retake siendelei mbele

Na somo gumu sana na PROf mnoko alinikariri baada ya kumfuma mtu ananifanyia quiz Ali note jina langu mwenzangu alimsamehe

Semister zote mbili za mwaka wa pili sikuishi kwa amani nilijua kabisa hapa mwaka wa 3 sitoboi
 
vipi mwaka wa tatu, ulifanikiwa kutoboa bila zengwe?
 
Ulikua unatandika wote wawili πŸ˜€ sipati picha ulivyokuwa unarusha mikono kama jackie chan vile πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nyie mnaiba pesa aisee kama hamkufukuzwa mshukuru sana
 
Sikuwahi pata sup mpaka mwaka wa 3 nikajimix nikamfanyia quiz pisi flani lecture akagundua kiufupi nilisup...nikacarr...baada ya kulia sana ndo akaniambiaa komaa upate marks nzuri utapita akaniachia ila nilikoma.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ pisi ikakuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…