Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

Tulikuwa ukumbi wa cenema, nikaenda toilet, wakati narudi umeme ukakatika nikapapasa seat mpaka nikaikuta moja blank nikidhani ni pale nilipokuwa nimekaa kumbe nimekaa na female Dean of students, nikawa naendeleza story nikijuwa niko na mdau wangu, umeme uliporudi πŸ™ƒπŸ˜·πŸ₯΅
 
Mwaka wa mwisho ndo ilikuwa biometric imeanza rasmi semester ya mwisho basi ile siku naenda kuweka fingerprint inakataa.

Nikarudia mara kibao siku ya tatu loan officer akaniambia niwahi mapema ile nafika naweka ikakubali mara yameingia mabum ya watu 6 ukijuumlisha na la kwangu yaani kama mil 3 na kitu halafu sijajua kabisa maana pesa nilikuwa nayo nilienda tu iingine kweny account ile taarifa ya crdb nilipoioana nikafuta meseji sijui dah!!
Nimekaa ishu ikaanza sijui kusaini kumestopishwa watu wamepata pesa nyingi maana pale chuo kuna IT wakaanza kusema eti watu wamehack system siku nikaja kuitwa kwa dean maana wengine waliambiwa warudishe mi sikujua kabisa maana sikutoa pesa account yangu ilikuwa na pesa na kwa akiba getto Nina kama laki ningesurvive hata wiki mbili mbele getto vyakula kibao.

Basi nimekuja kuitwa aisee sijui ili Wala lile CR anaanza kuniambia unaitwa naongozana nae njiani anasema mwanangu fanya urudishe pesa utafukuzwa chuo duh!! zipi? nilikuja gundua kuangalia Salio nikaenda tukaongea na dean wakatoa pesa ila nilikuwa na wasiwasi siku iyo nilijihisi kama mwizi vile .
 
ashum ungetumia hata laki hapo, msala ungekua mkubwa
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🀣🀣 daaah
 
ashum ungetumia hata laki hapo, msala ungekua mkubwa
Ile situation ya kuitwa then kuna mambo mengi yalitokea maana walinikomalia rudisha pesa nikawa kama nabisha sijaona hizo pesa duh kuvutana sana itabdi niangalie Salio ndo nikajua nilinywea na dean wa pale chuo mkorofi sana Eti " jiandae kufukuzwa chuo dogo"
 
pole sana kiongozi
 
𝐰𝐞 𝐧 π¦π°πšπ¦π›πš
 
Mzumbe student
 
Mkuu, sijui kama ni mwaka mmoja ila mimi pesa iliiingia ya watu wawili nilichomoa fasta, nikaitwa na mhasibu nikakataa. Issue ikaja yale mabum mawili ya mwisho yalikuwa yanakatwa juu kwa juu.

Ahahah maisha yalikuw magumu sana mwishoni.
 
Lecturer aliniambia somo lake sitoboi lazima ni retake *****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] n ilikuwa week ambayo nataka kwenda kulipa ada ikabdi nipige pepa n nikaomba kupostpone nikakubaliwa

Matokeo yalivyotoka kweli yule fala alimaanisha lkn nilijiwah nikaokoa pesa yangu
 
Mkuu, sijui kama ni mwaka mmoja ila mimi pesa iliiingia ya watu wawili nilichomoa fasta, nikaitwa na mhasibu nikakataa. Issue ikaja yale mabum mawili ya mwisho yalikuwa yanakatwa juu kwa juu.

Ahahah maisha yalikuw magumu sana mwishoni.
ulijikuta mjanja watu wakakukomesha πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…