Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ukiwa na third attempt kuna mda ukilala unaiota [emoji1787]Third attempt ya Dr madege SUA ilikwa anipe usingiz.
😂 😂 😂Ukiwa na third attempt kuna mda ukilala unaiota [emoji1787]
Kama ulikuwa na furaha ukiifikiria tu furaha inayeyuka
Na kwenye exam ticket inaonekana labda uifiche wana wasiione
Maana sup kawaida ila third kila mtu anaficha mnakutana kwenye pepa [emoji3]
Dean wetu anazingua majina alibandika kweny ubao wa matangazo kama wezi vile kutudhalilisha Kuna Wana wanasema hawakurudisha na ilikuwa semester ya mwishoMkuu, sijui kama ni mwaka mmoja ila mimi pesa iliiingia ya watu wawili nilichomoa fasta, nikaitwa na mhasibu nikakataa. Issue ikaja yale mabum mawili ya mwisho yalikuwa yanakatwa juu kwa juu.
Ahahah maisha yalikuw magumu sana mwishoni.
😅😅😅 Zilikuwa zingikiingia full matanuzi nini?!Kuishiwa hela, na kushindia mhindi wa kuchoma
Sahihi
Nilipata sup ya negotiation n mediation alafu mkufunzi mtata ukikata rufaa anaku mind mara 2
Mwamba nikakata rufaa, jamaa wakija kwangu wanasema mkufunzi haniachi aseeh lazima anile kichwa tena na tena
Nilikuja kuchomoka, tangu hapo nikaacha ubwege
Tuwe wapenzi wasomaji tu!!Wa darasa la saba tunahusika kwel hapa
La saba E ambao hata majibu tukipewa hatujui pa kuyawekaa[emoji144][emoji144]!!Naona wasomi mnatiririka. Naendelea kusoma comments.
Karibu kwenye uzi wa wasomi ☺La saba E ambao hata majibu tukipewa hatujui pa kuyawekaa[emoji144][emoji144]!!
Usile ADA HAILIPIKI. Mimi nilijaribu hapo ndipo nilijua nani rafiki na nani adui. Pia hapo nilijua nina ndugu wa namna gani. Chuo kilinicheleweshea bumu sasa hela ya kuongezea ada nikaila maana home wasingenielewa kuwaambia naomba hela ya kula. Mpaka inafika siku ya mitihani bado hela haijasoma so nikaenda kwa Dean of School akaniandikia barua nikapewa examination card nikafanya pepa. Hela ikatoka nipo home nikatumia kama laki nikijifariji hela ya field ikiingia nitalipa. September conference ikaniita nafika kigezo ni kuingia ni kulipa ada. Hapo sina nina laki nne na nusu tu we nilikoma. Piga simu zote watu hara hawapokei yani. Mshkaji mmoja rafiki yangu na yeye akashikwa akaja kufanya mtihani. Anakuja maza ake akamtumia hela ya kula kwenye simu nakumbuka tu alinipa simu akaniambia mwanangu kalipe ada. Nikatoa ada nikalipa ada halafu nikarudi tena bro sina hela ya kula. Mwana alinilisha wiki mbili. With that he became my brother. Hata leo alinipigia simu nina tatizo hili naomba msaada i don’t think twice maana hata ile hela hakuitoa yeye niliitoa mimi yani hata kuiona hakuiona. Huwa namwambia Mungu endelea kumbariki maana ndugu waligoma hata kunimbia hatukupi. Pia nimejifunza kutoa feedback kwa watu kuhusu mambo mbalimbali.kosa lingine ilikuwa ni kulamba ada sema ilikuwa sio nyingi kama laki 3 ila cha moto nilikiona maana ilikuwa ni tumbo joto.
Asante mkuu nimekaribia nipo hapa!🙇Karibu kwenye uzi wa wasomi ☺
InspirationUsile ADA HAILIPIKI. Mimi nilijaribu hapo ndipo nilijua nani rafiki na nani adui. Pia hapo nilijua nina ndugu wa namna gani. Chuo kilinicheleweshea bumu sasa hela ya kuongezea ada nikaila maana home wasingenielewa kuwaambia naomba hela ya kula. Mpaka inafika siku ya mitihani bado hela haijasoma so nikaenda kwa Dean of School akaniandikia barua nikapewa examination card nikafanya pepa. Hela ikatoka nipo home nikatumia kama laki nikijifariji hela ya field ikiingia nitalipa. September conference ikaniita nafika kigezo ni kuingia ni kulipa ada. Hapo sina nina laki nne na nusu tu we nilikoma. Piga simu zote watu hara hawapokei yani. Mshkaji mmoja rafiki yangu na yeye akashikwa akaja kufanya mtihani. Anakuja maza ake akamtumia hela ya kula kwenye simu nakumbuka tu alinipa simu akaniambia mwanangu kalipe ada. Nikatoa ada nikalipa ada halafu nikarudi tena bro sina hela ya kula. Mwana alinilisha wiki mbili. With that he became my brother. Hata leo alinipigia simu nina tatizo hili naomba msaada i don’t think twice maana hata ile hela hakuitoa yeye niliitoa mimi yani hata kuiona hakuiona. Huwa namwambia Mungu endelea kumbariki maana ndugu waligoma hata kunimbia hatukupi. Pia nimejifunza kutoa feedback kwa watu kuhusu mambo mbalimbali.