Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Acha basi ...utumbo wa uku Tena umeviringishwa wenye firigisi au maini ya kuku....utamu mpaka kisogoni....Niliwahi poteza demu niliye mzima baada ya kuona anakula utumbo wa kuku,na ikawa mwisho wa uhusiano hapo hapo😂
Najua kwa Mbagala,buza,yombo Manzese, Buguruni kila mtu atanishangaa,japo ni mboga pendwa ongeza na Ngwara na vichwa ila ndivyo ni livyo kinyaa nje nje🤔Acha basi ...utumbo wa uku Tena umeviringishwa wenye firigisi au maini ya kuku....utamu mpaka kisogoni....
Mimi mpenda napiga kwani mazingira yake ni asili na maandalizi yako waziMi mpaka leo nashangaaga sana watu wanaoweza kula mlenda na wanaona mtamu kabisa.
Ndo hapoo sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha basi ...utumbo wa uku Tena umeviringishwa wenye firigisi au maini ya kuku....utamu mpaka kisogoni....
Unasemea wale Mageke au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi acha niwashangae yaani askari wa mchwa mnakula????
Singidani kwa wala mlenda 😅kwenu wapi?
Umeambiwa askari wa mchwa wew unaleta ungoni tenaUnasemea wale Mageke au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usukumani!!Limbe..
Aseee! siku ukienda twende wote!Singidani kwa wala mlenda 😅
Bila shaka, karibu.Aseee! siku ukienda twende wote!
Hapo kwenye mkalifya, jamanii kamboga nakapenda sanaa ngoja nirudi iringa but kipindi cha mvua ndo inakua nyingi.Kuna sista duu wa masaki alikuja home akashangaa nakula ugali maharage akauliza hapa kuna shule ya boarding?
Iringa kuna mboga inaitwa mkalifya,na uroho wangu wote nilichemsha, ni chungu kuliko uchungu wenyewe
Hunilishi Tena hata Kwa bundukiHapo kwenye mkalifya, jamanii kamboga nakapenda sanaa ngoja nirudi iringa but kipindi cha mvua ndo inakua nyingi.
Yanaitwa beze mkuuMi nikishangaa kuona watu wanakula yale majani ya magimbi.
Majani flani hivi mapana hivi, nikishangaa kumkuta jirani anayaandaa kwa kupikwa.
Kumuuliza anasema yanaliwa ila sio yale yaliyokomaa sana.
Usukumani hata mim nlishangaa eti hawajui kama tembele nimboga wao wanaita malandoMatembele enzi hizo sikuyafahamu wala sikujua kuyatofautisha na marando nilipokuta yamepikwa sehemu nikashangaa kuwa wanakula marando(majani ya ambayo mizizi yake inatoa viazi vitamu)