Umewahi kukutana na usumbufu unaosababishwa na huu mmea

Umewahi kukutana na usumbufu unaosababishwa na huu mmea

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Ni mmea ambao unaweza kukusababishia usumbufu mpaka ukajuta kuzaliwa. Watoto ambao wamekulia ndani ya mageti watakuwa hawajui. Unaweza kuwaadhibu watu na huu mmea

20210320_181609.jpg
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Nafahamu hayo majani, kikwetu tunayaita mtunungu.. Samaki wakiwekewa kwenye maji hufa na kuelea juu... HAYO MADUDE YAKE YALIYO KAMA MAHARAGWE, NGOZI YAKE INA UPUPU JUU
 
Kwa kilugha ni nkondo, hutumika kuua wadudu kwenye miili ya wanyama na kuvulia samaki mtoni au kwenye mabwawa. Sio upupu
Kuna dogo juzi kachuma hiyo kitu kalia masaa mawili mazima anajikuna tu akijikuja tumboni mgongoni kunawasha akijikuna mgongoni makalioni kunawasha
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Mwanangu wewe tunatoka kijiji kimoja.

Ukimwaga mtoni unaenda kusubiria samaki bondeni huko
 
Back
Top Bottom