EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ni mmea ambao unaweza kukusababishia usumbufu mpaka ukajuta kuzaliwa. Watoto ambao wamekulia ndani ya mageti watakuwa hawajui. Unaweza kuwaadhibu watu na huu mmea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upupu.
Weka mbali hyo kitu
Huu sio upupu
We huujui upupuHuu sio upupu
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...We huujui upupu
Kwa kilugha ni nkondo, hutumika kuua wadudu kwenye miili ya wanyama na kuvulia samaki mtoni au kwenye mabwawa. Sio upupuNini kumbe
Yeah,pod zake ni kama za upupuHuu sio upupu
Nafahamu hayo majani, kikwetu tunayaita mtunungu.. Samaki wakiwekewa kwenye maji hufa na kuelea juu... HAYO MADUDE YAKE YALIYO KAMA MAHARAGWE, NGOZI YAKE INA UPUPU JUUHuo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Upupu si mneneUpupu.
Weka mbali hyo kitu
Umekulia ndani ya uzio kumbe hata huujui upupuHuu sio upupu
Mkuu ni sahihi kabisa ila ina utofauti na upupu (bomu la nyuklia)Nafahamu hayo majani, kikwetu tunayaita mtunungu.. Samaki wakiwekewa kwenye maji hufa na kuelea juu... HAYO MADUDE YAKE YALIYO KAMA MAHARAGWE, NGOZI YAKE INA UPUPU JUU
Kwa kilugha ni nkondo, hutumika kuua wadudu kwenye miili ya wanyama na kuvulia samaki mtoni au kwenye mabwawa. Sio upupu
Mkuu ni sahihi kabisa ila ina utofauti na upupu (bomu la nyuklia) View attachment 1732216
Kuna dogo juzi kachuma hiyo kitu kalia masaa mawili mazima anajikuna tu akijikuja tumboni mgongoni kunawasha akijikuna mgongoni makalioni kunawashaKwa kilugha ni nkondo, hutumika kuua wadudu kwenye miili ya wanyama na kuvulia samaki mtoni au kwenye mabwawa. Sio upupu
Mwanangu wewe tunatoka kijiji kimoja.Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO