Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

Alaa
 
🀣🀣🀣 Daah asee!

Sasa kwanini mliachana baadae? sema ww Demi kisa chako kitamu bana elezea vizuri.

Kati ya huyo mchepuko na bwana wako ni nani ndie wa 1 kuachana na ww na kwanini?
Mtu wangu tuliendelea nae muda mrefu maana ni baba mtoto wangu. Mchepuko nae tuliendelea kwa miaka na miaka nikipata chance ya kumuona maana nilihama mkoa. Hatujawahi kuachana ni ile kupotezeana tu kutokana na majukumu ya kifamilia.
Baadae nilichoka tu kuwa nae lkn ni mtu ambae hata nikimtafuta leo kutaka kukumbushia itawewezekana. Miaka 4 iliyopita nilikutana nae mahali akaniambia bado hajaoa..sijui ni kataa ndoa yule maana umri umeenda tayari 40 plus
 
Duuh kwa wanaume sisi sio ishu we are very cheap! Na kila mtu anajua kuwa "mwanaume ni wa wote"

Ila kumpata mwanamke atakayekuwa anakupa anytime mpaka kifo hapo ndo kisanga sasa.

Bora jamaa ni kataa ndoa maana ameshtuka atakuwa anachapiwa sana tu 🀣
 
Na bestie yako je? Kwanini waliachana au ni kuchokana tu?

Je bestie yako kaolewa?
 
Lazima achapiwe kama ambavyo alikuwa anachapa vya wenzie.
Kuimba kupokezana
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…