Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

Sio tu mpaka ufe..

Ukweli nikwamba, KILA BINADAM ANA Upungufu wake .

Watu waache dharau tuu, ivi unamPM MTU, unampa tantalila zako weeeee, mpaka MTU anakuamin anaamua kujiachia.

Alafu mwisho siku ya kukutana unakutana naye, unaanza kumthaminisha ??.

Huo ni Ukichaa, na ukichaa sio mpaka Uvue Nguo.... Kuna watu ni vichaaa mpaka wanajiona wao ni Miungu yaan wanajihisi wamekamilikaaaaa
Sanaaa
 
Embu nitumie VN unielezeee. Maana nimesoma maandishi mengi nikaacha kusoma

Mm nakumbuka wakati nasoma moshi, airtel walikuwa na huduma yao flan ya bure ilikuwa inaitwa airtel chat, basi bana nikajaga kupataga manzi huko yy alikuwa anaishi chuga maeneo ya ngulelo, weekend moja nika force kumtembelea kwa miadi ya game,

basi bana nikafika mpaka pale ngulelo yule mgeni wangu akanipa namba ya boda yaan nikifika pale nimchek boda anipeleke kwa manzi, kweli yule boda akanipeleka mpaka room kwa yule mgeni wangu ebana ile kufika pale kwake huuo manzi yaan ni rasta woman alafu anapiga msuba, akanikaribisha ndani na msosi akanipikia ugali wa bada na nyama choma mzee baada ya msosi akaniambia sasa ? Tuingie kiwanjani ...ebana ikabidi nivae vazi la ujasiri nikala mbususu ya yule rasta woman alikuwa sura ya kigaidi ila mbususu yake ilikuwa tamuuu badalaa alikuwa fundiii

Nawashauri msiwe mnawakimbia wengine mbususu zao ni tamu .. alafu mwanaume risaji hachagui kiwanja cha mchezo wala hachagui afungejeee iwe kwa kichwa, krosi, fauloo, au penati cha maingi Rungu lizame
Itakuwa alikuoulizia ule Moshi ndo maana ukapata ujasiri kula mbususu ya Rasta woman
 
Utasikiaaa ... Jamaaan basi bwanaaa Kumbe Carlos ni Kababuuuu sura imekashukaaaa, keusiiii, sura haina nuruu yaaan havumiliki !!

Embu lindeni kile kitu kilichowaweka pamoja, hata kama ni urafiki.

Mfano... Mimi Nina sura mbovuu, alafu Mungu akanipa rangi yang nyeusii, ila unapenda mastori yangu... Linda nautunze hikohiko.

Masuala ya uzee, weusi ,ubabu...niache Mimi Mwenyewe bana.
Duh hahahaaa wee bwana ni shidaaa
Pic%20Layer_20211111131418277.jpg
 
Utasikiaaa ... Jamaaan basi bwanaaa Kumbe Carlos ni Kababuuuu sura imekashukaaaa, keusiiii, sura haina nuruu yaaan havumiliki !!

Embu lindeni kile kitu kilichowaweka pamoja, hata kama ni urafiki.

Mfano... Mimi Nina sura mbovuu, alafu Mungu akanipa rangi yang nyeusii, ila unapenda mastori yangu... Linda nautunze hikohiko.

Masuala ya uzee, weusi ,ubabu...niache Mimi Mwenyewe bana.
Kucha za miguuni kama zimegongwa na mawe
 
Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".

Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..

Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo

Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .

Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.

NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...

ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....

BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA

UNA KAZI GANI MWANANGU??

UNAMILIKI NN???

UCHUMI N.K??

akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.

BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.

IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.

Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.

Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...

Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....

Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.

BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.

Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....

JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
I miss you.So long
 
Mzee inaonekana old school saana, Things have changed, Wanawake wa siku hizi wanapenda hela kwanza mengine yafuate
 
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.

Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi, nywele za nyuma ya kichwa zinasisimka.

Uvumilivu wa kuongea nae kenye simu na kucheki picha zake ulinishinda, ni muda sasa ulifika tukutana uso kwa uso nimshike mkono, nimkumbatie , n.k

Basi bwana tukapanga kuonana park flani ya wazi kabisa, Hio siku nilitupia pamba acha tu, mimi ndie niliewahi kufika kuandaa mazingira na kununua vinywaji maana pale park ni sehemu haina watu wengi, alipofika nikampungia mkono akaniona

Basi bwana ile kafika, bint mkali acha tu, sasa si akatabasamu bwana, ehhh meno yana ule ucnjano njao flani ivi, yani kwa zile picha za simu huez kuuona

Kiukweli nilipanga ukae hata masaaa manne ila tulikaa masaa mawili tu, kila akifungua kinywa nikiona ule unjano nakosa pozi.

Baada ya kuagana, sikuwa interested nae tena, ilibidi nidanganye tu kwamba nilikuwepo kikazi na nimondoka huo mkoa.
Yaani una mambo ya kishamba sana...mi nilidhani hata unaongea kitu Cha maana
 
Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".

Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..

Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo

Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .

Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.

NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...

ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....

BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA

UNA KAZI GANI MWANANGU??

UNAMILIKI NN???

UCHUMI N.K??

akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.

BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.

IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.

Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.

Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...

Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....

Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.

BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.

Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....

JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Busara thabiti na ubarikiwe sana.
 
niliaprochiwa na manzi mkali sana niliona nimewini kumbe alikua GASHO[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haijawahi kutokea na haitokaa itokee kwakuwa sina mategemea makubwa kwa mtu yeyote ninayekutana nae mtandaoni.kumkimbia au kumblock mtu ni kwa kuwa umeweka mategemeo makubwa mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea mic saan yaan.
 
Back
Top Bottom