Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Ooooh! JF Imenikutanisha na watu wengi sana na wengi wanaume kwa wanawake.
Mostly of women ambao nakutana nao sio kwa lengo la kuwatongoza ili tuwe wapenzi, Hapana! Ila kwa lengo la kutengeneza cycle ya marafiki ambao watakuwa na faida ktk harakati zetu za maisha
Na wengi nimekutana nao na kuzungumza vitu vingi bila hata kuwabagua na kuwasema kasoro zao Coz kila mmoja wetu kwa namna moja ama nyingine haujakamilika
Na sio kila mwanamke unaye kutana nae mtandaoni ni lazima uwe nae kwenye mahusiano ya kimapenzi, Just productive friendship inatoshaa sana Coz wengine mpk huwa wananiambia Insigne mbona ulinifata PM nikakupa mawasiliano yangu ila mpk leo hujawahi kunitongoza, it's big NO na siwezi kuapproach kila mwanamke ila tu kwangu muhimu ni cycle ya marafiki ambao watakuwa na msaada kwangu na kwao pia
Through JamiiForum nimekutana na mwanamke mwenye Albinism, nimekutana na mwanamke ambaye ana matatizo ya kusikia na kuongea ila mpk sasa huwa tunawasiliana vzr bila kuwakimbia na kuwablock
Ila nashangaa mwanangu sky soldier kisa mwanamke ana meno ya njano sijui ndo unakimbia na ulikuwa na option ya kuendeleza hata urafiki tu wa kawaida na sio lazima mapenzi mkuu
Naomba tutumie mitandao kwa ajili ya kutengeneza connection cycle kwa manufaa yetu na sio sexual desire