heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Tulikutana juzi tu ila single moma kadata kadatuka kwa mnako,anyway ngoja nimpe kampani coz nime muintaview yupo vizuri kichwani, mumewe alishakufaga uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you too darling..😘😘😘😘
Haya ianze siku yako vizuri 😁
ExactlyMnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".
Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..
Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo
Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .
Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.
NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...
ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....
BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA
UNA KAZI GANI MWANANGU??
UNAMILIKI NN???
UCHUMI N.K??
akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.
BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.
IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.
Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.
Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...
Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....
Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.
BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.
Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....
JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Watu eight, mkongwe sana mzee baba.[emoji8][emoji8]
Awww! I miss being able to hug you.
Naunga mkono hoja...Kwa upande wa wanawake, unaowaona kwenye mtandao kiuhalisia sivyo walivyo.
Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".
Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..
Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo
Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .
Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.
NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...
ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....
BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA
UNA KAZI GANI MWANANGU??
UNAMILIKI NN???
UCHUMI N.K??
akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.
BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.
IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.
Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.
Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...
Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....
Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.
BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.
Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....
JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Naamuru rasmi hili bandiko liwekewe lamination na litumike kujibia mtihani utakaoanza j3.Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".

Umetuwakilisha vyemaUnaweza tamani upizi damu zote mwilini ufie hapo hapo
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.
Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi, nywele za nyuma ya kichwa zinasisimka.
Uvumilivu wa kuongea nae kenye simu na kucheki picha zake ulinishinda, ni muda sasa ulifika tukutana uso kwa uso nimshike mkono, nimkumbatie , n.k
Basi bwana tukapanga kuonana park flani ya wazi kabisa, Hio siku nilitupia pamba acha tu, mimi ndie niliewahi kufika kuandaa mazingira na kununua vinywaji maana pale park ni sehemu haina watu wengi, alipofika nikampungia mkono akaniona
Basi bwana ile kafika, bint mkali acha tu, sasa si akatabasamu bwana, ehhh meno yana ule ucnjano njao flani ivi, yani kwa zile picha za simu huez kuuona
Kiukweli nilipanga ukae hata masaaa manne ila tulikaa masaa mawili tu, kila akifungua kinywa nikiona ule unjano nakosa pozi.
Baada ya kuagana, sikuwa interested nae tena, ilibidi nidanganye tu kwamba nilikuwepo kikazi na nimondoka huo mkoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulikutana juzi tu ila single moma kadata kadatuka kwa mnako,anyway ngoja nimpe kampani coz nime muintaview yupo vizuri kichwani, mumewe alishakufaga uko
Hujafa hujaumbika, af sio vizuri khaaahDaah demu alikuwa na picha nzuri aisee kipindi hicho nipo facebook lakini cha kushangaza hajawahi piga picha full body nilimtongoza akaingia kingi
Na zile picha zangu za nguo za sikukuu kaelewa show siku nakutana naye inaonekana kazaliwa mguu mmoja mfupi kwahyo kiatu kimoja kina soli ndefu hapo hapo niligeuza sikumsemesha alishangaa nafika home nikaenda mblock
Mi Ni mroho wa pussy ila ile hapana ila kama kuna baharia anataka aitombeee aseme tu nimpe username yake FB na description
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kabisa alimkosea sana huyo binti ! ,alikuww selfish... mtu anajali hisia zake tu na hajali hisia za watu wengine wanaomzungukaMnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".
Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..
Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo
Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .
Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.
NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...
ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....
BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA
UNA KAZI GANI MWANANGU??
UNAMILIKI NN???
UCHUMI N.K??
akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.
BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.
IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.
Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.
Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...
Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....
Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.
BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.
Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....
JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Hii ni tabia ambayo watu wengi masikini wa pesa na akili inawasumbua sana kama mtu ana tabia hii ni heri abadilike!Lkn sasa BINADAM alivyo, mpaka akupime. Aone unastahili heshima gani ??
Kula tano mkuuMnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".
Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..
Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo
Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .
Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.
NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...
ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....
BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA
UNA KAZI GANI MWANANGU??
UNAMILIKI NN???
UCHUMI N.K??
akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.
BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.
IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.
Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.
Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...
Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....
Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.
BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.
Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....
JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Kbala ya kukutana na malaika atakutana na kiongozi wa malaikaUnamkimbiaje mwanadamu mwenzako...
Kama unataka kukutana na viumbe wazuri, funga safari kwenda mbinguni ukakutane na malaika...
Tulikutana juzi tu ila single moma kadata kadatuka kwa mnako,anyway ngoja nimpe kampani coz nime muintaview yupo vizuri kichwani, mumewe alishakufaga uko
Sawa kaka DSema pia it's high time wanawake wabadilike wajikubali.
Picha wanazopost kwenye socio zao kama IG hazina uhalisia kabisa..wanajiedit waonekane extremely beautifull na shida zinaanzia hapo..
Wale wanaokutana bila kutumiana picha hao hawana shida..Kumkimbia sio vizuri..atleast kuzuga basi hata kwa wiki kadhaa
Labda we ndo unikimbie tu