Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe...
ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?..
Je,
ni kitu gani kiliwahi kukufanya uka ahirisha kufanya mapenzi licha ya kwamba mko kunako 6kwa6 tayari, na ulie kubaliana nae kugegedana?🐒