Umewahi 'kushare' na mke au mume wa mtu, unajisikiaje ukikutana na mumewe au mkewe?

Napiga Mkeka sana ndugu yangu...Rakaa 5 deile!
Jisogeze karibu na mungu utakuwa na hofu ya kumkosea.
 
GAZETI,
Kwanza waonekana mtoto sasa hao mambo ya kikubwa kakufundisha nani1 komaaa na kitabu kwanza.
 
Mimi nilihama mtaa kabisa
Mzee baba safi saana.

Hata mimi nilihama kabisa, maana nilimuacha akataka kujiua. Hadi wadogo zake wawili wa kike wakawa wananifuata kuniuliza why namuacha na nilimpa nini ilhali ni mke wa mtu!???

Wakawa wananisihi nisimuache, niendelee kuwa naye! Huwezi amini yaani!
Sasa nikaona hii ikigundulika itakuwa shida kwangu. Ikabidi nihame.

Nikahama kabisa ili kumuepuka.

Huwa ananipigia simu ananilaumu sana. Anasema ikiwa hakufa kwa mapenzi wakati ule, basi hataki tena kupenda zaidi.

Kama hao wadogo zake wanapita huku JF, basi watakumbuka yaliyotokea.
 
GAZETI, UNAPOKUTANA NA MWENYE MKE AU MWENYE MUME?

MMh! mwenzangu nikikutana na mke wake naangaliaga chini tuu maana najua nilichokifanya na najua site jamaa ananimalizia kupaua nyumba yangu
 
Aisee ....kwa mtu mwenye hekima sio masuala ya kujisifu...kwangu ngono sio sifa njema so siwezi kujibu swali lako....maybe umuulize mtoa post huwenda ikawa anajibu la swali lako
Hii hua inatokea wakati mwingine sio kwa kukusudia.
 
Sijawahi kula mke wa mtu. Nimekula single maza mmoja tu 2006 hadi 2008
 
Najisikia fresh tu, yaani ni ile kila mtu a play party yake....wanaume wenyewe nyie mko wachache halafu nikae single ili iweje
umejua kunifurahisha agiza burudani 3 unywe.
 
Binafsi nilikua najishtukia na naanza kumsemesha, nilikua nikihisi kashanijua kabisa hivo nafsi ikanisuta nikaacha na sintowahi tena kufanya.
 
Kipindi nime maliza chuo nilikuwa na mahusiano na mke wa mtu ila kila nikimwona yule jamaa nilikuwa naumia vibaya mno,Siku moja yule jamaa nilimkuta pale mliman city anachagua nguo za mke na mtoto wake,ghafla nilijikuta naumia zaid,na toka siku ile yule mwanamke nilimwacha na mpaka saiv hata mke wa mtu ajilengeshe vipi siwez kumsikiliza.
 
Omba Mungu akupe wa kwako na kama unae tayari stick nae. Ukimwi bado upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…