Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 763
- 780
Nakuona nakuona atakuletea mrejesho!!!Swal la.msing sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona nakuona atakuletea mrejesho!!!Swal la.msing sanaa
Pole mkuu ila aseee mie walinipa vibao maana nikikataa kuchuchumaaNikisikia ninatafutwa na polisi ninahama mji kabisa, nilikaa masaa 8 nilichoka kulala, kukaa na hata kusimama nilikosa uhuru wa kufanya ninachotaka nilijutia kosa na sitaki kurudi tena selo
Umenikumbusha mbali sana ,,Shivaz pub,, mapolisi tulitoroka doria unga limited kuja kula bata Shivaz pub.Nshalala Central Arusha Kituo Kidogo Kaloleni Pia Arusha Ilifika Kipindi Police Wakiniona Wananiacha Tu Mitaa Ya Shivaz Sikosekani Wakikamatwa Nami Nimo Maromboso Nililala Siku Moja Ila Saivi Nshakua Yashapita Sitaki Hata Kukumbuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amenuna kbsa sasa hya masihara unaweza enda nayo jukwaa la siasa!!!muwe mnasoma majukwaa tafadhali khaa!!!Sijui juu sijui chini..hii chitchat sijui kwanini watu wanashindwa elewa.
Ukinikuta jukwaa la siasa au MMU nakuwa serious kuchangia mada ila mkuu angalia maana ya chit-chat
Ok sawa tukimaliza hlo zoezi no 1 ujiandae no 2 cio ombi, mkataba muhmu kbla ya yte!!![emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Tuanze kosa la kwanza. Nimelikubali na nipo tayari kufanyiwa hivyo kwa jina la Bonny
[emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amenuna kbsa sasa hya masihara unaweza enda nayo jukwaa la siasa!!!muwe mnasoma majukwaa tafadhali khaa!!!
Kumaliza nayo KOk sawa tukimaliza hlo zoezi no 1 ujiandae no 2 cio ombi, mkataba muhmu kbla ya yte!!![emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Leo umeniamulia mkuuKuicha = Kuiacha
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kusomea ujinga??
Sipendagi kuwaangusha wazee wenzangu ujue...napitia njia ya chini tukutane pale pale pm [emoji4]Nakuona nakuona atakuletea mrejesho!!!
Hapana mkuu... ni kunyooshana tu kama ulivyoamua kumnyoosha yule mzembe.Leo umeniamulia mkuu
Ukiwa mtu mzima utajua kwa nn? Watu wanaenda kuleSijawahi hata siku moja.
Heh ndo nn??[emoji41] [emoji41]Kumaliza nayo K
[emoji23] [emoji23] daah pole sana mkuuDah aiseee umenikumbusha mbali sana
Ilikua Mbeya huko kituo kikubwa cha police aisee
Mi Niko Chuo 2nd year so nimerudi field mkoa (wazazi walikua huko)
Basi Nyumba ya juu tulikua na kidem kinanizimia kinoma
Day in day out kinatuma barua through Dada wa kazi kinanitongoza
Basi kuna this day kiliniita kwao kulikua kama na kisherehe nikaenda kusaidia kuchinja mbuzi
Basi ile kuondoka kumbe mfanyakazi wao kamwambia wazazi(mama) wake nimesex na mtoto wao dah aisee
Sina hili wala lile after two days nachukuliwa na defender police na gun like sijui mhalif gani aisee
Nikatolewa mkanda nikaingizwa lockup
Nilichojifunza mule ni dunia nyingine but blv me kuna watu wanaishi Kama wapo mtaani
Kuna watu walikua wanaagiza bangi kama kawaida na wanavuta so as sigara mbaya zaid wengi walikua wanawafundisha watuhumiwa au mwezi wadogo njia mpya za wizi na ujambazi
Yaan kuna master minds kabisa yeye haendi site anakupa tu plan ya kuiba bila kukamatwa so jambazi akipata ishu anampa jamaa anawatengenezea plans wakiiba wanampa pasu
Also wazoefu wanawafundisha mwezi au watuhumiwa kujibu maswali mahakamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikucheke tyu umepata kiboko yko jpo hakai kwnye maji!!Leo umeniamulia mkuu
Kwa prime minister tangulia ntakukuta [emoji18] [emoji18]Sipendagi kuwaangusha wazee wenzangu ujue...napitia njia ya chini tukutane pale pale pm [emoji4]
Eti ni kweli kuwa ukiingia tu lazima wazee wenye mji wakuonje kwanza?Dah aiseee umenikumbusha mbali sana
Ilikua Mbeya huko kituo kikubwa cha police aisee
Mi Niko Chuo 2nd year so nimerudi field mkoa (wazazi walikua huko)
Basi Nyumba ya juu tulikua na kidem kinanizimia kinoma
Day in day out kinatuma barua through Dada wa kazi kinanitongoza
Basi kuna this day kiliniita kwao kulikua kama na kisherehe nikaenda kusaidia kuchinja mbuzi
Basi ile kuondoka kumbe mfanyakazi wao kamwambia wazazi(mama) wake nimesex na mtoto wao dah aisee
Sina hili wala lile after two days nachukuliwa na defender police na gun like sijui mhalif gani aisee
Nikatolewa mkanda nikaingizwa lockup
Nilichojifunza mule ni dunia nyingine but blv me kuna watu wanaishi Kama wapo mtaani
Kuna watu walikua wanaagiza bangi kama kawaida na wanavuta so as sigara mbaya zaid wengi walikua wanawafundisha watuhumiwa au mwezi wadogo njia mpya za wizi na ujambazi
Yaan kuna master minds kabisa yeye haendi site anakupa tu plan ya kuiba bila kukamatwa so jambazi akipata ishu anampa jamaa anawatengenezea plans wakiiba wanampa pasu
Also wazoefu wanawafundisha mwezi au watuhumiwa kujibu maswali mahakamani
Duuuuh!!Eti ataki tuachane kma namuacha nimrudishie vtu vyake vyte alivyonipa nikamgomea ,Akaenda polic kufungua kesi eti ananidai hela alinikopesha [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji35] [emoji35] [emoji35] !!!
Hehehehe can't prove thatEti ni kweli kuwa ukiingia tu lazima wazee wenye mji wakuonje kwanza?