Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

Nikisikia ninatafutwa na polisi ninahama mji kabisa, nilikaa masaa 8 nilichoka kulala, kukaa na hata kusimama nilikosa uhuru wa kufanya ninachotaka nilijutia kosa na sitaki kurudi tena selo
Pole mkuu ila aseee mie walinipa vibao maana nikikataa kuchuchumaa
 
Nshalala Central Arusha Kituo Kidogo Kaloleni Pia Arusha Ilifika Kipindi Police Wakiniona Wananiacha Tu Mitaa Ya Shivaz Sikosekani Wakikamatwa Nami Nimo Maromboso Nililala Siku Moja Ila Saivi Nshakua Yashapita Sitaki Hata Kukumbuka.
Umenikumbusha mbali sana ,,Shivaz pub,, mapolisi tulitoroka doria unga limited kuja kula bata Shivaz pub.
 
Dah aiseee umenikumbusha mbali sana
Ilikua Mbeya huko kituo kikubwa cha police aisee
Mi Niko Chuo 2nd year so nimerudi field mkoa (wazazi walikua huko)
Basi Nyumba ya juu tulikua na kidem kinanizimia kinoma
Day in day out kinatuma barua through Dada wa kazi kinanitongoza
Basi kuna this day kiliniita kwao kulikua kama na kisherehe nikaenda kusaidia kuchinja mbuzi
Basi ile kuondoka kumbe mfanyakazi wao kamwambia wazazi(mama) wake nimesex na mtoto wao dah aisee
Sina hili wala lile after two days nachukuliwa na defender police na gun like sijui mhalif gani aisee
Nikatolewa mkanda nikaingizwa lockup
Nilichojifunza mule ni dunia nyingine but blv me kuna watu wanaishi Kama wapo mtaani
Kuna watu walikua wanaagiza bangi kama kawaida na wanavuta so as sigara mbaya zaid wengi walikua wanawafundisha watuhumiwa au mwezi wadogo njia mpya za wizi na ujambazi
Yaan kuna master minds kabisa yeye haendi site anakupa tu plan ya kuiba bila kukamatwa so jambazi akipata ishu anampa jamaa anawatengenezea plans wakiiba wanampa pasu
Also wazoefu wanawafundisha mwezi au watuhumiwa kujibu maswali mahakamani
 
Sijui juu sijui chini..hii chitchat sijui kwanini watu wanashindwa elewa.

Ukinikuta jukwaa la siasa au MMU nakuwa serious kuchangia mada ila mkuu angalia maana ya chit-chat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amenuna kbsa sasa hya masihara unaweza enda nayo jukwaa la siasa!!!muwe mnasoma majukwaa tafadhali khaa!!!
 
Dah aiseee umenikumbusha mbali sana
Ilikua Mbeya huko kituo kikubwa cha police aisee
Mi Niko Chuo 2nd year so nimerudi field mkoa (wazazi walikua huko)
Basi Nyumba ya juu tulikua na kidem kinanizimia kinoma
Day in day out kinatuma barua through Dada wa kazi kinanitongoza
Basi kuna this day kiliniita kwao kulikua kama na kisherehe nikaenda kusaidia kuchinja mbuzi
Basi ile kuondoka kumbe mfanyakazi wao kamwambia wazazi(mama) wake nimesex na mtoto wao dah aisee
Sina hili wala lile after two days nachukuliwa na defender police na gun like sijui mhalif gani aisee
Nikatolewa mkanda nikaingizwa lockup
Nilichojifunza mule ni dunia nyingine but blv me kuna watu wanaishi Kama wapo mtaani
Kuna watu walikua wanaagiza bangi kama kawaida na wanavuta so as sigara mbaya zaid wengi walikua wanawafundisha watuhumiwa au mwezi wadogo njia mpya za wizi na ujambazi
Yaan kuna master minds kabisa yeye haendi site anakupa tu plan ya kuiba bila kukamatwa so jambazi akipata ishu anampa jamaa anawatengenezea plans wakiiba wanampa pasu
Also wazoefu wanawafundisha mwezi au watuhumiwa kujibu maswali mahakamani
[emoji23] [emoji23] daah pole sana mkuu
 
Eti ni kweli kuwa ukiingia tu lazima wazee wenye mji wakuonje kwanza?
 
Back
Top Bottom