Hivi uliulizaje tena today i didn't carry my glasses so i cant see properly
mara ya mwisho hii...
unampenda nani kimapenzi kati ya hawa wawili Pearl au Afrodenzi..
jibu linatakiwa moja tu...
na tafadhali usikate kona
na usipojibu mie ndo huyo nakuachia mazima..
Dah!! Leo kama wikiendi vilemamy hata yy angekuwa tinga tinga mie ndo barabara anaichimba sawa tu wala sina shida yyte as long as yy ndo mchimbaji
Nadhani Chaji ya simu itakua imeeisha cjui kama ataweza jibu hili swali....na umeme hakuna lolmara ya mwisho hii...
unampenda nani kimapenzi kati ya hawa wawili Pearl au Afrodenzi..
jibu linatakiwa moja tu...
na tafadhali usikate kona
na usipojibu mie ndo huyo nakuachia mazima..
mamy hata yy angekuwa tinga tinga mie ndo barabara anaichimba sawa tu wala sina shida yyte as long as yy ndo mchimbaji
Hana jibu huyo
Nadhani Chaji ya simu itakua imeeisha cjui kama ataweza jibu hili swali....na umeme hakuna lol
ati nini???Pheww!!!
haya bibie mie nasubiria jibu..
halafu hapo niamue nini cha kufanya..
kwa sasa siamini mnafanya hayo mambo..
lakinii hata kama yanatokea mie sitingishiki hata kidogo na mbegu zake za kutosha...
Raha jipe mwenyewe na matatizo wakupe wenzio!!!!!
Mie naipenda signature yangu mwenyewe, imebeba ujumbe mzito kwa wenye kufikiri. Hebu isome tena kwa makini.
we hilo siamini mbona anamjibu Kimey, Dena, na Pearl
ikija kwenye mama watoto (AD) umeme umekatika simu imisha changer...
mmmhh nice try hilo halikubaliki
Raha jipe mwenyewe na matatizo wakupe wenzio!!!!!
Mie naipenda signature yangu mwenyewe, imebeba ujumbe mzito kwa wenye kufikiri. Hebu isome tena kwa makini.
endelea kusubiri wakati sie tuko:A S 101::A S 101::A S 101:
Dah!! Leo kama wikiendi vile
Hapo ndo mtihani ulipo
napenda mnavyo danganyana.....
mmmhhh kuna raha..
Ha ha ha