Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Watu badala ya kufanya kazi eti wanakaa kujadili sahihi. Kweli miafrika ndivyo ilivyo.
Mkuu, Huwa najisikia vibaya sana ninapolaumu mtu/watu lakini kuna wakati inabidi
Hizi signature zilizopo hapa JF ni tofauti na zile watu wanazotumia kuibia mali za
Watanzania, ni bora ulaumu mjadala juu ya Avatar lakini sio signature kama utatulia
ukazisoma vizuri - kuna ambazo zinaelimisha sana, kuna ambazo zinasisimua na kuna
ambazo zinzkuongoxza kwenye ujasiri. Hebu tulia uzisome vizuri kwani wengine
wamezinote kutoka kwa wanafalsafa wakubwa kabisa.
GAZETI
 
Watu badala ya kufanya kazi eti wanakaa kujadili sahihi. Kweli miafrika ndivyo ilivyo.

Mwita25 hujui what is signature,
siyo ile sahihi yako ya kwenda kusaini posho kwa afisa mtendaji,
kwa vile hujui omba ueleweshwe kama nilivyofanya mimi mamndenyi.
 
Mwita25 hujui what is signature,
siyo ile sahihi yako ya kwenda kusaini posho kwa afisa mtendaji,
kwa vile hujui omba ueleweshwe kama nilivyofanya mimi mamndenyi.


SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA source: Mamndenyi
 
Mwita25 hujui what is signature,
siyo ile sahihi yako ya kwenda kusaini posho kwa afisa mtendaji,
kwa vile hujui omba ueleweshwe kama nilivyofanya mimi mamndenyi.

Haya naomba unieleweshe basi.
 
Sijamuelewa kabisa

Nenda juu kabisa kwenye line ya kulogoff utaona kuna sehemu imeandikwa
Setting. Pale ulipotumia kuweka Avatar kwa chini kuna sehemu imeandikwa
EDIT SIGNATURE Fungua hapo then fuata maelekezo!


 
Kwa kuwa wewe ni one of my roll model,
naomba unijuze imekaaje kaaje hii sahihi yangu mimi mama yako?


Signature ya Ukweli saana.... Nimeipenda kusema kweli for inafaa kabisa kumdefine Mwita25 (anatangatanga lakini hajapotea) Asikupotozee mda tayari anajua kuweka Signature.. mtakesha hapa!
 
Hivi na mi ninayo kwani maana hata sijui ndio kitu gani hicho!
 
Nenda juu kabisa kwenye line ya kulogoff utaona kuna sehemu imeandikwa
Setting. Pale ulipotumia kuweka Avatar kwa chini kuna sehemu imeandikwa
EDIT SIGNATURE Fungua hapo then fuata maelekezo!



Mimi sijasema kuwa sielewi jinsi ya kufungua signature, nimesema sielewi umuhimu wake.
 
It sparks the brain to think...good endeavor
 
Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery. (Crashwise)
 
Mi sina ila hupendelea za zile za Che Guevara,na Fidel Castro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…