klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hehehehe. . . .kumbe ndio maana hua hawanitumii PM walizoahidi ehhh?
Hahahaa. . .nazani umenisoma sasa, na hivi tunavyochangia hii sredi kuna mmoja ndo namalizana nae hapa. ameomba razi
Khaaaa! ukiskiliza wadaku hatutofika mbali honey!Hahahaa. . .
Umempiga biti la aina gani na mimi niwapige unaowatongoza?
Khaaaa! ukiskiliza wadaku hatutofika mbali honey!
naipenda yangu
Toba!Nimeona mwenyewe. . . au macho yangu yakidaku?
Samahani my friend ila mimi siipendi hii yako kabisa! naiona kama alama ya mental slavery, na neo-colonial metality incrustred in the victim himself... Sisemi that is who YOU are, nasema ndio ninavo soma hii signature yako. Imekaa pejorative zaidi, we are better than that, au I am too blonde again?
Hehehehe. . . .kumbe ndio maana hua hawanitumii PM walizoahidi ehhh?
mambo ni mtakatifu ivuga
Toba!
Dah! kalaptop kamemaliza chaji hafla! inabidi nilog out kidogo.
nina uhakika unatumiwa mi PM kibao lakini kabla hujayafungua Array huwa anayasoma na kuya diliti.
Msaisahau 'No Second Chance to Make the First Impression' - Lukansola
Kama unavosema I don't know you that much ila the little I know ni kwamba I haven't came accross independent minds like your's hapa JF na ndio maana wewe kuweka hii signature I am not comfortable... Maybe unieleze why this and not one that reflects your personality...If you knew where I'm coming from with it you wouldn't feel the way you feel now.
Kama unavosema I don't know you that much ila the little I know ni kwamba I haven't came accross independent minds like your's hapa JF na ndio maana wewe kuweka hii signature I am not comfortable... Maybe unieleze why this and not one that reflects your personality...
Hahahaha, usinichonganishe na mdogo wangu Aminata. By the way, mi fave signatures zangu zilikua ni zenu, the way one is reflective of the other, so cute... 🙂nipo in love ujue RR
Haya, deal, nimesha nunua Porto na cheese, nimekaa chini kwenye carpet, dim light, nakusubiri unieleze 😉Nitakueleza chemba kule tunakopigaga stori. Hapa wanga wengi bana. Deal?