Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Kimsingi ulichosema ni sahihi kabisa!
 
Si umeona alivo nijibu hapo juu, mwenyewe bado nipo foleni hapa, ila akisha nambia nitamuuliza kama naweza kukwambia na wewe au kama atakuja kwako kukwambia na wewe.

akikukataza nambie kisiri siri.
Off topic: nafurahi kukuona tena.
 
Ipi ni signature nzuri kati ya hawa wawili?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…