Hapa hata sikubali ina maana yangu hakuna aliyeiona au hakuna aliyeielewa?Kama hakuna aliyeielewa ngoja niitafsiri basi labda listi hapo juu itachakachuliwa."Nzi ni Mtanzania na vinavyonuka ni wale wanaokumbatia mafisadi,kwa hiyo hapo ni sawa na kusema mtanzania ananishangaza kwa kupenda(kuchagua) wanaokumbatia ufisadi.Jamani hapo sijaingia tu kwenye first eleven?
I WiLL MERRY WHEN I WANT YA Mtawala nayo iko juu
Sioni jina langu,,au macho yangu:glasses-nerdy::rolleyez:
Senki you vere machi AD for including my signature in your list.
Kuna jamaa aliweka ya kwake akafuta simkumbuki jina ila ilinipa kutafakari sana
Inasema hivi ...."Kama kuoa ni baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?"
smiles -"...Everyday I remind myself that my inner and outer life are based on the labor of others...."
Rugas -AIDS awareness slogan: Try different positions with the same woman instead of same position with different women.
Mzee Mwanakijiji-Nimesoma Zaburi ya 35 hadi nimetetemeka; sijui nikuambie usome au usisome; amua mwenyewe- MM
Thanks babe,napenda ya kwako pia lkn zaidi nakupenda wewe kama wewe.
Blessings
Dah!hii ndo inaitwa sharing is caring eeh??mpaka kwangu jamani!!!
Mbona watu mnachunguza sana familia za watu aisee?
Du naona nimechelewa mada ndio inaenda ukingoni nilikuwa bize kwa siku 3 hizi nikifuatilia madudu ya IGP na mwenzake wa Ikulu huko Geneva kupitia lile jukwaa lingine. Hongereni wote ambao signature zenu zimepata nafasi ya kuwa shortlisted
hata hii yangu jamani imesimama du au inawauma nyie wasema ovyo mmmhhhh;;
yangu pia imetulia sana kwa kweli unajua nimeisoma mara ningi naona inaweza kuwa namba wani kwa kweli kama kuina mtu anabisha aonyeshe ya kwake kama inasound
Hapa hata sikubali ina maana yangu hakuna aliyeiona au hakuna aliyeielewa?Kama hakuna aliyeielewa ngoja niitafsiri basi labda listi hapo juu itachakachuliwa."Nzi ni Mtanzania na vinavyonuka ni wale wanaokumbatia mafisadi,kwa hiyo hapo ni sawa na kusema mtanzania ananishangaza kwa kupenda(kuchagua) wanaokumbatia ufisadi.Jamani hapo sijaingia tu kwenye first eleven?
nje ya mada sio siri mi laiki zis wani hia,au mnasemaje waungwana?:-*