Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Nasemea hyo kugoma ku log in mbona jibu Hali relate kabisa ndio umecopy huko chatgpt bila ku edit
vizuri sana kwa kufunguka haujaelewa technical terms na counter attacks zilizopigwa katika kujibu ulichocomment.
Nimeongelea issue za private browsing labda kuzihusishanisha na ulichocomment ni kwamba
"ukilog out data za username yako inabaki" kwa sababu hautumii private browsing
na kwny maelezo yangu hapo yameeleza kuwa moja wapo ya sababu ya username inaonekana na data nyingne ambazo binafsi hutaziona zinabaki ni ili kukusaidia wewe kutumia MBs chache.
Na kwenye computer networking kuna vitu vinaitwa resources, kwaiyo izo data kutofutika na kutolazimika kwako kuziomba tena kutoka kwny mtandao kunasaidia pia kupunguza jam na kusaidia mifumo iwe na ufanisi zaidi.
kitu kingine tena ambacho unaweza sema hakirelate na wewe mfano mtu mtanzania akisearch neno "cariha" kwny google ile data labda kama imehifadhiwa na server ambayo ipo Marekani, na huyo mtu akapata majibu yake akamaliza, ile data itabaki imehifadhiwa kwny servers zinazoserve Tz, ili kwa wakati mwingine mtu anapotafuta kitu asikiombe kutoka mbali, ila karibu,
vivyo hivyo wewe iyo username kubaki ni sababu kama hiyo, faida kwako na kwa mifumo. Kama unataka kujilinda zaidi unaweza chukua hatua mbadala kujihami na dark sides za hiyo.
nawasilisha.... ChatGPT #human_content
 
Thanks
 
Mkuu naona bila shaka ni ile stori iliyoleta ukakasi ya netflix[emoji23]

Anyway, Haitokuwa na maana tena,yoyote atakayeishika atapotezea hata akikuta vitu vbya kwa maana marehemu hasemwi
 
Duh 🙄🙄
 
Ndiyo maana tunaelezwa ukishakuwa mtu mzima yakupasa uwe na piece of mind.
Utoto wa kutongoza tongoza vitoto na makahaba acha kabisa.
 
Kupiga bao sio kwasababu ya moyo kuliwazwa nikwasababu ya uchungu.roho inapotoka sio kitu rahisi.Ndo maana wako wanaume wanaopiga bao na wanawake wanaoingia period.ile hali haiji kwasababu ya raha bali maumivu.
 
Duh,Ila kweli jamani...huko kufa umeenda mbali nawaza tu hata kupotea!
 
"""Au mama amefariki kijana wake anaingi PM anakuta mtu aliekuwa anamtongoza na kumsumbua kila mara ni mama yake. Je mhusika atakuwa kwenye hali gani?"""

Uncertainty principle. ""Its impossible.........""
 
Nina mambo mengi ya kufikiria siwezi kuumiza kichwa eti niendelee kufikiria Hadi baada kifo changu
 
Ukishakufa hata taarifa zako hazina kazi tena hata kama uliwatukana CCM! JF hatuupload SEX PHOTOS WALA VIDEOS So relax swali la msingi JIULIZE UKIFA LEO UNAENDA WAPI?
R.I.P hazitabadilisha HATMA YAKO. Hilo ndio la msingi
 
Ndiyo nafahamu nani na nani watashika simu yangu...
Mmoja yupo JF humu humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…