Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Pusy zimesafiri sana kuifuata koni yangu.
 
Mkuu ulitumia boti nini?? Mtoto wa Kisomali ndio alikupeleka Kismayu au wale Wapemba wa 1995?
Kwa Boti mkuu kuna mji unaitwa yoontoy ndio nilipofikia kwa toto la kikristo la kisomali anaitwa ayaan ndio natarajia kumuoa.
Somalian hawana noma kabisa na wabongo wanatuusudu sana uwe mkristo au muislam hawajali kikubwa uwe mbongo tu wanasema tuna wasave sana wakiwa wanapita boda kwenda SA.kifupi nchi nyingi wanatuusudu sana watanzania sijui kwanini ...nchi ambayo hatupendwi ni Mozambique
 
Aisee. Hataree sana.
 
Kuvuka makaburi usiku.....hilo siyo tatizo sema baada ya kumaliza kulitafuna KM 1 unapaona KM 10
 
Aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…