Nishawahi pigwa baridi stand,kumwambia nimefika njoo nichukue
pigwa sana baridi alipokuja kunifata bora basi hata ningeenda fanya kitu
tumeingia location hamna hata ajabu lililotokea,kila mtu alitaka muonyesha mwenzie
kazaliwa familia ya kichungaji,tukaanza na praise n worship tukala chakula,msosi
ukaombewa dk 25 tukakula msosi baadae eti nikanawa mikono akansindkza nisepe
Nikaenda lala lodge mitaa hiyo hiyo,Asubuhi nikakwea Azam yangu nikageuza rudi BARA
SAFARI 1 ya kingese sana majuto niliyoyajutia maisha yangu yote kama upimbi nilishakuaga pimbi mwenzenu.
Nimevuka maji nimeenda pewa Kiss na kurudi nilipotoka,magharama kibaoo for nothing na bado tuliachana,ila Mungu atanichoma Moto kwa dhambi nyingi mimi,ptuuuuu,...