We ni kamanda 🤣🤣🤣 hii Dar niko radhi nifosi kupanda daladala nigombane na konda ila sio kutembea kwa mguu kmmmk.2010.
Boko - mpaka Mwenge
(Nilikua mgen Dar nimekuja kuanza chuo) so nikawa na mindset za kimkoa mkoa kwamba sio lazima kupamba gari.🤣🤣
Hahahah mnawezaje🤣🤣🤣2017
Steshen Gerezan kariakoo mpaka Mbagala Rangi 3.
Kulikua na folen siku hiyo haifaiiiii
🤣🤣🤣 nilipofika nilihisi sina miguuWewe ni mwamba 🤣🤣🤣
Mkuu isiwe tulikuwa tunaishi nyumba moja!G/Mboto from Mzambarauni via Jet via Buguruni via Tabata Relini, nikatokea Ubungo, nikanyooka hadi Shekilango hadi Sinza Vatcan..... hii ilikua 1994, na mwisho wa daladala toka K/Koo, Posta nk ilikua ni pale G/Mboto Mzambarauni kabla ya Scolla House haijajengwa kmmk walahi...
Moja moja mdogo mdogo kama huna harakaHahahah mnawezaje🤣🤣🤣
Hahahahah unaweza ukafika ila uhakika wa kuamka kesho mzima ndio hakuna🤣Moja moja mdogo mdogo kama huna haraka
Hii siku ni kwel niliumwa sana maana ni kama week 3 zilikua zimepita toka nipate ajali ndogo maeneo ya Moroco mguu wa kushoto ukashtuka uliteguka kidogo.Hahahahah unaweza ukafika ila uhakika wa kuamka kesho mzima ndio hakuna🤣
Dah pole sana. Mimi nakumbuka siku nilikadiria Mwenge nikatembea hadi Victoria pale. Nilijuta 🤣🤣🤣Hii siku ni kwel niliumwa sana maana ni kama week 3 zilikua zimepita toka nipate ajali ndogo maeneo ya Moroco mguu wa kushoto ukashtuka uliteguka kidogo.
Siku hii sasa baada ya kutembea sana nikaushtua...kesho yake ilkkua siku kuu ya Idd nilishinda nimelal tuuu😂😂😂
Hizo kawaida sanaaaaDah pole sana. Mimi nakumbuka siku nilikadiria Mwenge nikatembea hadi Victoria pale. Nilijuta 🤣🤣🤣
Naelewa ila kwa dar huo ndio umbali nimetembea kwa miguu...! Mikoani huko nimeshatembea Km 30 kwenda na kurudi [emoji125]Mwanangu mbona karibu sasa
Ulipata nguvu hata ya kumtazama uso kweli😊😊Jangwani mpaka Mtongani kisa demu
Mazizini Mombasa to chang'ombe via TazaraNakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.