Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K/Koo to UbungoNakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.
Mkuu hizo kms si mchezooooo ila kwa mtembeaji anatoboaAlikuwa anatembea huyo, mimi nilitembea mwendo wa kawaida kabisa km 32 kutoka makete wilayani hadi ikonda kwa masaa 6 kasoro. Ina maana km 42 ningezimaliza kwa masaa 7 au 8 kwa kutembea.
yaani kweli ilikuwa kama maandamano hatukuchelewa hata kufika🤣Mkiwa wengi haina kwere 🤣
Kuna rafiki zangu wakati tunasoma shule ya msini, ile likizo ya mwezi wa 6 walishatembea kwa mguu zaidi ya km 70 kutoka sehemu inaitwa Mlangali hadi Ludewa wilayani. Safari walianza jioni saa kumi na moja wakati tunatoka shule na wakafika asubuhi muda wa chai.Mkuu hizo kms si mchezooooo ila kwa mtembeaji anatoboa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ndo wanaume sasaKuna rafiki zangu wakati tunasoma shule ya msini, ile likizo ya mwezi wa 6 walishatembea kwa mguu zaidi ya km 70 kutoka sehemu inaitwa Mlangali hadi Ludewa wilayani. Safari walianza jioni saa kumi na moja wakati tunatoka shule na wakafika asubuhi muda wa chai.
Ndio mkuuKibada hii hii au???
Walikula nauli?Kuna rafiki zangu wakati tunasoma shule ya msini, ile likizo ya mwezi wa 6 walishatembea kwa mguu zaidi ya km 70 kutoka sehemu inaitwa Mlangali hadi Ludewa wilayani. Safari walianza jioni saa kumi na moja wakati tunatoka shule na wakafika asubuhi muda wa chai.
Njia ipi ulipitia mkuuNdio mkuu
Hawakula nauli, kipindi hicho mwaka 2004 hakukuwa na mawasiliano ya simu. Sasa ile likizo inabidi uende kwa mzazi au ndugu mjini ili shule ikifungua angalau urudi na chochote kama si kichwani basi mfukoni ili mkifungua shule, uonekane mtu mbele ya wanafunzi wenzako.Walikula nauli?
Mkuu hiyo si ya kitoto unatembea mpaka kiatu kinaishia njiani
25 km, pugu stesheni - postaNakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.
Duh acha uvivu mtu kazi hiyo ruti uwa nakimbia kila jumamosi natoka home napaki Coco Beach nakimbia mpk ferry nakurudi kupitia Tanzanite Bridge. Nikitoka hapo naondoka na gari mpk Corner Bar napiga kongoro narudi home KimaraFeri hadi koko bech
Hahha haaa mkuu hiyo ni ndogo ila sehemu nyingne tumetembea na kukmbia sanaaa.Duh acha uvivu mtu kazi hiyo ruti uwa nakimbia kila jumamosi natoka home napaki Coco Beach nakimbia mpk ferry nakurudi kupitia Tanzanite Bridge. Nikitoka hapo naondoka na gari mpk Corner Bar napiga kongoro narudi home Kimara
Tumetoka mbal sanaaaHawakula nauli, kipindi hicho mwaka 2004 hakukuwa na mawasiliano ya simu. Sasa ile likizo inabidi uende kwa mzazi au ndugu mjini ili shule ikifungua angalau urudi na chochote kama si kichwani basi mfukoni ili mkifungua shule, uonekane mtu mbele ya wanafunzi wenzako.
Sasa mkifunga shule mtu unakuwa na kimuhemuhe cha kuondoka na hana mia mfukoni, ndio hapo mtu anarisk kukanyaga mguu.
Mfano wakati nasoma wenzangu washajitosa sana kukanyaga mguu mwendo wa masaa 12 kwenda machimbo ya dhahabu au vibarua kwenye mashamba ili shule ikifungua arudi na ada na pesa nyingine ya matumizi.
😃😃😃🤔🤔Azani/Upanga hadi Yombo Dovya...