Giftedman
Senior Member
- Dec 24, 2017
- 105
- 314
Nyie mna uzi wenu special huu n wa binadamu kwa kawaida [emoji1787][emoji1787]Na sisi machinga tunaruhusiwa kuchangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mna uzi wenu special huu n wa binadamu kwa kawaida [emoji1787][emoji1787]Na sisi machinga tunaruhusiwa kuchangia
jamani huyu ndio mvivu kuliko watu wote yaani utoke ubungo hadi River sideme nilitoka banana adi Gmboto
Hiyo naamini ,nakumbuka kaka zangu walinifurusha kwe2 1998, akili ilinituma kahama alipo mamangu then ,Mzee nilipiga guu ,mbele ya kilomita 250 siku 8 Cha ajabu nlikuwa nikipita sehemu napakumbuka nikipita na mzazi kwenye basi , mwanza to kahama kmmk daaah na nlikuwa mtoto bado , Nina bahati nlifika hivi el nino mwaka ule ndo ikaanza ...mamangu aliponiona alishtuka SanaMkuu hebu acha chai basi km 200 +
Pole sana mkuu ila kwa siku nane sawa jamaa yy anasema siku mbili kwa huo umbali [emoji3][emoji2]Hiyo naamini ,nakumbuka kaka zangu walinifurusha kwe2 1998, akili ilinituma kahama alipo mamangu then ,Mzee nilipiga guu ,mbele ya kilomita 250 siku 8 Cha ajabu nlikuwa nikipita sehemu napakumbuka nikipita na mzazi kwenye basi , mwanza to kahama kmmk daaah na nlikuwa mtoto bado , Nina bahati nlifika hivi el nino mwaka ule ndo ikaanza ...mamangu aliponiona alishtuka Sana
Kumbe upo moroHumu sijaona ruti ndefu ya mtu hata moja, mimi nilikuwa natoka kibamba mpaka kibada na ni kila siku, nilikuwa natembea bila kujua kuwa ni mbali mpaka pale nilipozoea jiji zima nazunguka kwa miguu tu, sikuwahi kupanda daladala mpaka narudi kijijini kwetu Magera, Morogoro.