financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Tumepiga sana shato pori, chuo to hostel, hostel to chuo😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vingunguti hadi posta?? Aisee ulikula nauli ama😀Vingunguti mpaka posta miguu iliwaka moto
Vingunguti mpaka ubungo river side
Vingunguti mpaka uwanja wa taifa
Ila utoto ni shida
Safi sana napapata vizuri, mwaka 2019 nilikuwa pale mkiu parokiani kwa muda wa miezi 3, na pia uwepo wangu haukuwa mbaya nimepata na mke kutoka Lugalawa.Nimesoma Ulayasi, Ludewa pia nimeishi.
Mkiu ndio kwetu kabisa pale, shule ya msingi nimesoma Mkiu. Utotoni ruti za Mkiu - Lugarawa kwa mguu tushapiga sana kwenda kuchukua maembe ya kuuza.Safi sana napapata vizuri, mwaka 2019 nilikuwa pale mkiu parokiani kwa muda wa miezi 3, na pia uwepo wangu haukuwa mbaya nimepata na mke kutoka Lugalawa.
Cute wife
Unajua kweli nilikua sijasoma vizuri hii thread, leo nimeumbukaHivi umeelewa swali lililoulizwa lakini? [emoji1787][emoji1787]
Muhimbili to Kimara-Temboni ndani ndani huko.Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.
Tandika Matandu Hadi msasani beachNakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.
Duuuh poleee yakee aseeehMbona pafupi tu hapo! Mimi nilikuwa nasoma Urafiki na mwamba mmoja. Huyo alikuwa anatoka Kimara go and return kila siku.
Alikuwa anafika darasani ameshajichokea kabisa.
Unajua kweli nilikua sijasoma vizuri hii thread, leo nimeumbuka