Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

Nyege zinatulia hela sana wanaume .. Kuna dem nikimtongoza akawa kakubali siku bamtafuta aje sehem akasema yuko na ndugu zake walikua msibani ndo wanarudi home km vip aje nilipo nikamwambia fasta njoo...Mshenzi yule akaja na kijiji chake wakala wakanywa . Tugaana na ndugu zake nikabaki na dem wangu. Kufika chumbani ile shika shika akawa anataka kwanza aende bafuni mm nikashtuka kuja kuchunguza kwa makini yule mshenzi alikua katoka kutoa mbwa na shahawa za jamaa bado zimo kwenye kipochi. Siku ile km isinge kua roho ya huruma nilitaka nimle tako maana walikua wametumia km laki na 20 hivi.
Huyo binti alikuwa kitoto cha chuo nini?

Japo 120,000 sio mbaya sana

Kuna wengine zinawatoka zaidi ya 500k hivi na kidogo kwa mtoko mmoja

Ogopa sana mashemeji 😂
 
Ni vile hatuwezi kumpangia mtu matumizi ya hela zake

Ila shilingi 4,000,000 unaweza kununua ekari kama 16 hivi Iringa Vijijini (Isimani kule) na ukalima Maharage yako kwaajili ya kuzalisha na kuongeza kipato

Vijana mtambue kuna Uzee pia

Jifunzeni kuwa na nidhamu na hela zenu
 
Nyege zinatulia hela sana wanaume .. Kuna dem nikimtongoza akawa kakubali siku bamtafuta aje sehem akasema yuko na ndugu zake walikua msibani ndo wanarudi home km vip aje nilipo nikamwambia fasta njoo...Mshenzi yule akaja na kijiji chake wakala wakanywa . Tugaana na ndugu zake nikabaki na dem wangu. Kufika chumbani ile shika shika akawa anataka kwanza aende bafuni mm nikashtuka kuja kuchunguza kwa makini yule mshenzi alikua katoka kutoa mbwa na shahawa za jamaa bado zimo kwenye kipochi. Siku ile km isinge kua roho ya huruma nilitaka nimle tako maana walikua wametumia km laki na 20 hivi.
Na wewe ukapiga mzingo kumjazilizia shawa zingine ?
 
Weekend hii nilikuwa huko Mkuu, ni ile barabara ya kwenda Ruaha National park kama walipomzikia Mzee Lukuvi

Japo mimi nimeunganishiwa na Mzee mmoja wa Mila kupata hayo maeneo
Sawa, maana siku hizi ardhi imepanda sanaa hata maeneo ambayo huduma muhimu hazijafika lakini bei ya ardhi ya moto.
 
Ni vile hatuwezi kumpangia mtu matumizi ya hela zake

Ila shilingi 4,000,000 unaweza kununua ekari kama 16 hivi Iringa Vijijini (Isimani kule) na ukalima Maharage yako kwaajili ya kuzalisha na kuongeza kipato

Vijana mtambue kuna Uzee pia

Jifunzeni kuwa na nidhamu na hela zenu
Mkuu,isimani maharage yanakubali?
 
Back
Top Bottom