Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

Huyo binti alikuwa kitoto cha chuo nini?

Japo 120,000 sio mbaya sana

Kuna wengine zinawatoka zaidi ya 500k hivi na kidogo kwa mtoko mmoja

Ogopa sana mashemeji 😂
 
Ni vile hatuwezi kumpangia mtu matumizi ya hela zake

Ila shilingi 4,000,000 unaweza kununua ekari kama 16 hivi Iringa Vijijini (Isimani kule) na ukalima Maharage yako kwaajili ya kuzalisha na kuongeza kipato

Vijana mtambue kuna Uzee pia

Jifunzeni kuwa na nidhamu na hela zenu
 
Na wewe ukapiga mzingo kumjazilizia shawa zingine ?
 
Weekend hii nilikuwa huko Mkuu, ni ile barabara ya kwenda Ruaha National park kama walipomzikia Mzee Lukuvi


Japo mimi nimeunganishiwa na Mzee mmoja wa Mila kupata hayo maeneo
Sawa, maana siku hizi ardhi imepanda sanaa hata maeneo ambayo huduma muhimu hazijafika lakini bei ya ardhi ya moto.
 
Mkuu,isimani maharage yanakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…