Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
😂😂 ni kamzozoHajawahi hata kutumia. Hapo ndio yupo proper🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 ni kamzozoHajawahi hata kutumia. Hapo ndio yupo proper🤣🤣🤣
Abadiri iri iwejeangetakiwa abadiri ruga kidogo
Yaan we ndo chizi wa Jf 😂😂😂Turizani we nae utakuwa umerara
Hadi yai unamenyewakias
🤣🤣🤣🤣Yaan majibu hamumpi...anapokea vijembe tu 🙌Turizani we nae utakuwa umerara
hadi maana ya uzi imebadilikaComments sasa🤣🤣🤣🙌
sijanywa nimekosea wap mkuuUmelewa au ndio kichwa yako ilivyo?
Hai galantii rorote rireira richaboy ana vituko [emoji23]
turudi kwenye mada sasa enhe unasema wazazi hai galantii nini 🙂
🤣🤣🤣🤣Daa,balaa tupu 🥴hadi maana ya uzi imebadilika
🤣🤣🤣🤣Hai galantii rorote rire
Kwahiyo unategemea mtu mwenye ngoma aje akwambie kaweza? Siyo kila mtu yuko tayari kuweka wazi maradhi yake, we meza dawa zingatia masharti unayopewa na daktariNataka mifano yenye ushuhuda siyo ya kuandikwa kwene vitabu
sasa icho si kiswahili cha Ha gurantee hichi ni kiswanglishKwa huo uandishi wa Hai galantii na Richa badala ya Licha inaonekana moja kwa moja kabisa una Boko
iri tujue kama mada yake ni ya kweriAbadiri iri iweje
uwiiiKwahiyo unategemea mtu mwenye ngoma aje akwambie kaweza? Siyo kila mtu yuko tayari kuweka wazi maradhi yake, we meza dawa zingatia masharti unayopewa na daktari
huyu wa kujiita jobless akamatwe anyongwe🤣🤣🤣🤣
Razima arimwe, urizani atapita sarama katika hiri. Wanasema hiri naro ritapita, rakini kwenye hiri hapana aisee hatutakubari ripite🤣🤣🤣🤣Yaan majibu hamumpi...anapokea vijembe tu 🙌
najikuta naria nikirudia kusoma hiri riuzi dah! 🙂Hai galantii rorote rire
Hapa umemkazia mno aiseeKwahiyo unategemea mtu mwenye ngoma aje akwambie kaweza? Siyo kila mtu yuko tayari kuweka wazi maradhi yake, we meza dawa zingatia masharti unayopewa na daktari
Hata wwe hujaheeerewekaaa kabisa!!!Richa ya kusoma na kurudia rakini sijaerewa rabda nakura mchicha wenye radha ya rimao.