Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni.

Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!!

Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
Ndugu ngoja tu nikusaidie.
Kiufupi hakuna kinga yeyote ya HIV inayofanya kazi kama kutatokea na muingiliano wa damu.(Mchanganyikano wa damu
Wa baina ya mwenye maambukizi na asiye na maambukizi.

Hivyo basi kinga zote za HIV nindhaifu na hazifanyi kazi kwenye mchanganyikano wa damu
OVER
 
Fanya Masahihisho Kwenye Thread Wakati Nawaleta "Doctors Without Borders, "

Kujibu Hilo Swali Lako
 
Ndugu ngoja tu nikusaidie.
Kiufupi hakuna kinga yeyote ya HIV inayofanya kazi kama kutatokea na muingiliano wa damu.(Mchanganyikano wa damu
Wa baina ya mwenye maambukizi na asiye na maambukizi.

Hivyo basi kinga zote za HIV nindhaifu na hazifanyi kazi kwenye mchanganyikano wa damu
OVER
We unautaaramu wa afya?
 
Na ukikaidi hii coment yangu ipo siku utakuja na kilio.

Pia yote ya yote hakuna kinga ya asilimia 100% kwenye gonjwa lolote lile. Kinga zote zina asilimia. Na hazifiki 90.

Kinga zote anazotengeneza binadamu zinakuwa udhaifu wake mahali. Kuwa makini.
 
Hapo nimekusoma ingawa umeensa nje ya maada
 
Hakuna kinga inayofanya kazi kwa asilimia 100% kwenye gonjwa lolote lile. Kinga zote zina asilimia. Na hazifiki 90.

Kinga zote anazotengeneza binadamu zinakuwa na udhaifu wake mahali. Kuwa makini
Ok hakuna kinga yoyote ya HIV?
 
Back
Top Bottom