Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

Ni wazi hujui kitu unachoongelea. Kajifunze kwanza maana na tofauti ya PMTCT, PEP na PrEP
Wewe umejifunza wapi?
Na kwanini ukajifunza?
Na je ugonjwa uliupata kwa njia ya kuambukizwa au ulizaliwa nao?
 
Umeng'ang'ania kutaka ushahidi. Sasa tafuta muathirika akutie mimba, halafu meza dawa kwa wakati. Ukijifungua mtoto negative inakuwa ushapata ithibati yako.
Kinyume na hapo tuondolee ubishi wa kindezi hapa.
mkuu sikujua kama hili jambo HALIJAKUNOGEA naomba nifute uzi
 
Jamaa hana utaalamu wa afya, atakupoteza
Najua yawezekana hana utalam huo lakin bado yuko sahihi sehemu moja kwene %

Njia zote hamna yenye 100% safe ila zina mchango mkubwa sana
 
Najua yawezekana hana utalam huo lakin bado yuko sahihi sehemu moja kwene %

Njia zote hamna yenye 100% safe ila zina mchango mkubwa sana
Mkuu na sio tu (Safe) hata kwenye ufanye wa kazi na kuleta matokeo ya uhakika hakuna imefika hata 80% ndio maana majaribio yanandelea kila kukicha.
 
Back
Top Bottom