Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
kwa nini hazifanyi kazi kwa 100% jibu scientificallyHakuna kinga inayofanya kazi kwa asilimia 100% kwenye gonjwa lolote lile. Kinga zote zina asilimia. Na hazifiki 90.
Kinga zote anazotengeneza binadamu zinakuwa na udhaifu wake mahali. Kuwa makini