Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

We jamaa hayo ma story ya kijiweni yanakuharibu. Penda kujifunza achana na story za vijiweni
Kwani umeolewa?
Na kama bado basi jitahidi sana kufanya mapambano yako dhidi ya janga la ukimwi.
Ukimwi ndio ugonjwa pekee ukiwa hauna unaona dawa nyingi na tiba lakini ukiwa nao hauoni kimbilio la zaidi ya ARV na KUJINYONGA pia nasikia kuwa kenya wameanza nunua.

Usiku mwema
 
Kwani umeolewa?
Na kama bado basi jitahidi sana kufanya mapambano yako dhidi ya janga la ukimwi.
Ukimwi ndio ugonjwa pekee ukiwa hauna unaona dawa nyingi na tiba lakini ukiwa nao hauoni kimbilio la zaidi ya ARV na KUJINYONGA pia nasikia kuwa kenya wameanza nunua.

Usiku mwema
kweli
 
Kitu gani hujaelewa au unahitaji ufafanuzi kwenye huduma ya PMTCT?
Mi ningependa mnavojibizana na huyo jamaa iwe kwa kutumia takwimu ningeenjoy na kuelimika.

LAKN pia lengo la uzi si kuelewa PMTCT

Ni kupata either Takwimu au evidence based testimony

we nisaidie tu takwimu za 23/24
Wajawazito wenye VVU walioko kwene dawa
Watoto waliozaliwa na hao kina mama
Watoto waliopata VVU baada ya miezi 9 ya follow up
 
Mi ningependa mnavojibizana na huyo jamaa iwe kwa kutumia takwimu ningeenjoy na kuelimika.

LAKN pia lengo la uzi si kuelewa PMTCT

Ni kupata either Takwimu au evidence based testimony

we nisaidie tu takwimu za 23/24
Wajawazito wenye VVU walioko kwene dawa
Watoto waliozaliwa na hao kina mama
Watoto waliopata VVU baada ya miezi 9 ya follow up
Mkuu siko hapa kwa ajili ya ligi hivyo sitaendelea kumjibu huyo 'muhuni'.

Kifupi kama wazazi wanatumia dawa vizuri na virusi vimefubazwa pia wakafuata ushauri waliopewa na wataalam wa afya kupata mtoto asie na maambukizi ni jambo la kawaida kabisa.
Shida inakuja pale wazazi wanapokataa dawa, wasipo fuata ushauri wa wataalam (ikiwemo kujifungulia kituo cha afya, EBF nk) hapo kuna uwezekano wa kupata mtoto mwenye maambukizi.

Pia kuna wale wazazi wanaogundulika na maabukizi katika hatua za mwisho za ujauzito au wakiwa wananyonyesha, hawa pia wanauwezekano wa kumuambukiza mtoto.
Pia kipimo cha miezi 9 sio cha mwisho kwa mtoto, kipimo cha mwisho kinatakiwa kufanyika mtoto akiwa na umri kati ya miezi 18 - 24.

Kuhusu takwimu ukifuatilia desemba 1 hua zinatolewa na mamlaka husika
 
Ndugu yangu

Hypersonic WMD

Ngoja nikueleze kitu uhusu takwimu,
Kiufupi hali ni mbaya sana kwenye swala la watoto wanaozaliwa na maambukizi ya HIV kutoka kwa mama zao. Japo ina nafuu kidogo ukilinganisha na miaka ya 2000-2015.
Na hii ni kutokana na watu kuwa na elimu juu janga la ukimwi na serikali kuwa na mikakakati na kuwa zahanati katika kalibia kila kijiji hii imepelekea wazazi wengi kujifungulia katika vituo vya afya. Hali iliyopelekea kutokea kupungua kidogo kwa kasi ya watoto wanaozaliwa na maambukizi ya HIV.
Japo ki takwimu namba ni nyingi. Sio utani.

Vijijini hata na mijini hali ni mabaya sana.. kama utaamua kuwapima wanafunzi wa darasa la kwanza katika kila shule basi kwa vijijini utapata hata 10 au 20 kutegemea na wingi wa watoto katika kila darasa.
Ni wastani wa asilimia 13.5 katika kila darasa.

Hivyo basi bado elimu kubwa inahitajika kwa wazazi, jamii na hata watoaji huduma ya afya.

Hatuwezi kufanikiwa kupambana na watoto wanaozaliwa na HIV ikiwa bado tunaendelea kujificha ukiwa na maambukizi. Ifike hatua wenye maambukizi iwe ni wazi kujieleza tu kwenye jamii kuwa nina hiv na hata mwanangu pia.

Tukifika katika hatua hii tutakuwa tayari tumepiga hatua kubwa kwenye maambukizi mapya.

Maana siraha kubwa ya HIV ni kujificha na kujichukulia tatizo lako ni siri yako.
 

Attachments

  • Screenshot_20250227-000255.jpg
    Screenshot_20250227-000255.jpg
    236.2 KB · Views: 1
Mama rhobi Ebu inama nikurenge mambo ya kurambana rambana mimi sitaki Kira siku, unanipa stairi moja tu nawewe Ebu 🥶😝
 
Kama haujui kua hiyo elimu ipo mda mrefu sana na inapatikana Clinic Basi bwana mdogo we bado saanaaaaaaaaa!!!!!!!😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom