Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
- Thread starter
-
- #41
Subir majibuMAJIBU
1.Nitakuwa mtu wa 2
2.Walibaki mbuzi 7
3.Mtoto hakufahamu lolote kwasababu alikuwa mahututi.
ππ haya buanaKuna moja pale lime kuponza, ila wapo walio lipata π
Mchepuko sio baba/mama π nipewe zawadi zanguDoctor ni mama
Mchepuko sio mzazi banaaa, ni intruderπMchepuko sio baba/mama π nipewe zawadi zangu
π€£π€£π€£Mchepuko sio mzazi banaaa, ni intruderπ
Ni jibu lakin sio jibu sahihi πMchepuko sio baba/mama π nipewe zawadi zangu
NOOOP π1. Wapili toka mwisho
2. 0
3. Doctor
Good try1...sijui mpaka mashindano yatakapoisha
2... 0
3... Mama
πππWote mmekosa mi nawashangaa sana inamaama IQ zenu zimezorota kama umeme wa tanesko!.
Page ya tatu hii na hakuna aliepata...π
Kazi ipo.. mweka mada baki na zawadi yako tu hizi ni dharau.
Mbona mm huniambii nimepata ngapi post no. 14Mpaka sasa hakuna aliepatia majibu yote matatu, wengi wanapatia mawili tu, KEEP TRYING GUYZ
kwa bahati mbaya hakuna ulilopata πMbona mm huniambii nimepata ngapi post no. 14
nimekosea wap mkuuGood try