Hakika kiongozi maana jamaa alikuwa na kiburi. Nasikia watumishi wa halmashauri ya Temeke walikuwa wanamuogopa kuliko waziri mkuu.Aliemteua alipenda style yake .....ikampa jeuri zaidi ...asubiri uchunguzi
Wanacheza ngoma ya bosi wao tu, hata Jaffo angefanya hivyo kama bosi angependa, tatizo wakati wa Jaffo bosi alikuwa hapendi.Ni jambo jema
Huyu jamaa Jaffo alikuwa anamuogopa sana.
Nimeamini Wanawake wakiwezeshana wao kwa wao Wanaweza!
Duh kumbe jamaa kitambo na mambo ya hovyo. Tena alivyoletwa ndani ya jiji akaona yupo peponi hakuna wa kumchezea.Huyu alikuwa Kakonko kabla ya kepelekwa Temeke. Yupo hovyo mno. Uchunguzi inafaa uanzie Kakonko.
Hii jeuri alikuwa nayo sababu ya jiwe. Alifanikisha kuiba uchaguzi wa ubunge kule Kibondo alipofariki Eng. Chiza akapata zawadi ya kuhamishiwa mjini na akaota mapembe. Visa vyote alivyofanya akiwa DED ni sababu ya backup ya uhakika aliyokuwa nayo toka kwa jiweHuyo wa TEMEKE ndiye aliyekuwa anawajibu vibaya waandishi wa habari, mara awaweke ndani.. Huyo DED alikuwa na jeuri na kiburi.
Sasa lake limemkuta arudi benchi arusha alikotoka ....nyambafuHakika kiongozi maana jamaa alikuwa na kiburi. Nasikia watumishi wa halmashauri ya Temeke walikuwa wanamuogopa kuliko waziri mkuu.
Vipi wa Bahi tunasikia ni mke wa Ndugai, kafanya halmashahuri kama familia yake na usikute ana ishi dodoma mjini.Na Yule aliejenga nyumba ya milioni 800 mbona bado yupo??
Na wa Tanga mjini?
Jafo alikuwa anamwogooa mteule wa Jiwe Kama ilivyokuwa kila mmoja anamwogopa MakondaNi jambo jema
Huyu jamaa Jaffo alikuwa anamuogopa sana.
Nimeamini Wanawake wakiwezeshana wao kwa wao Wanaweza!
Sema napenda Sana namna Mwakabibi anajiamini ...tatizo strength hii Kuna muda anaitumia vibayaWanacheza ngoma ya bosi wao tu, hata Jaffo angefanya hivyo kama bosi angependa, tatizo wakati wa Jaffo bosi alikuwa hapendi.
Wewe Jamaa unaongea kinafki sanaNi jambo jema
Huyu jamaa Jaffo alikuwa anamuogopa sana.
Nimeamini Wanawake wakiwezeshana wao kwa wao Wanaweza!
Jafo alikuwa anawaogopa hao akina mwakabibi sababu walikingiwa kifua na Hayati ndo mana akina Mwakabibi walikuwa na jeuriMbona jaffo alikua anawaogopa sana wakurugenz halafu ummy mwalimu anawatumbua vizuri tu?..
Hahahaaaa.... Unafiki ni somo bwashee!Wewe Jamaa unaongea kinafki sana
Wamrudishe mwakaleli hili jiji ni kubwa kwake
Kama ni somo basi mataga mna ufaulu wa daraja la kwanzaHahahaaaa.... Unafiki ni somo bwashee!
Kwan Mkurugenzi anateuliwa na nani?Mbona jaffo alikua anawaogopa sana wakurugenz halafu ummy mwalimu anawatumbua vizuri tu?..
Huyu wa Temeke ilikuwa suala la muda tu ,amekuwa akilalamikiwa sana....hata waandishi amekuwa akiwatukanaWaziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili.
Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na Madiwani.
Wa pili ni Lusubilo Mwakabibi, Mkurugenzi wa Manispaa ya temeke. Huyu yeye katumbuliwa kutokana na kuwa na mwenendo usiofaa na matumizi mabaya ya Madaraka.
Mwakabibi ametumbuliwa kutokana na watu kumlalamikia kwa mwenendo usiofaa na matumizi Mabaya ya Madaraka, Ubadhirifu, usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo Katika Manispaa ya Temeke.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewataka Wakurugenzi wote Nchini kuzingatia Mipaka yao ya kazi.
Soma hizi:
1) Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara
2) Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko
3) Wito: ITV isusie kutangaza taarifa zote za Manispaa ya Temeke mpaka pale DED Mwakabibi atakapotimuliwa
4) Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari
View attachment 1763482
View attachment 1763546