Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

Naona ummy sahv hacheki na mtu
Ukizingua anakuzingua
Safi sana ummy

Ova
 
Aisee,
kumbeba wazir tamisemi anaweza kuwasimamisha kazi wakurugenz[emoji848]

Sikuwai kuskia jaffo akifanya hivi miaka yote alokaa tamisemi
Jaffa alileta za kujuana
Sasa ummy yeye hana
Kujuana

Ova
 
Magu alikua anawaokotea wapi hawa watu?
 
Mbona jaffo alikua anawaogopa sana wakurugenz halafu ummy mwalimu anawatumbua vizuri tu?..
Madhara ya kuwekeza ktk nafasi za juu za uongozi mbele ya safari km sio kuwa alikua ananufaika na matokeo ya utendaji mbovu na udhukumati....staili hii yabuongozi ni mbaya kabisa. Tenda na ongoza kwa mujibu wa kanuni taratibu hata ukiwa na Malengo makubwa zaidi ya kiongozi, utendaji thabiti utakujenga na kulipa zaidi
 
Tunamtumia barua ya pili ya kumfukuza kwenye idara
Mkuu ikifanikiwa hiyo itakuwa safi sana. Nina imani takukuru watakuwa fair katika kumpekua hilo jinga kubwa. Kumbe Kakonko huko alisababisha mwalimu Mkuu wa Sekondari kujiua. Alikula pesa ya ugenzi wa shule mwalimu alipoenda kuuliza pesa akamruka kimanga. Mwalimu wa watu akajiua.
 
Hao kufukuzwa haisaidi
Si ajabu akaunti zao zimenona

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…