Aseme tu kuwa Magufuli alikuwa kichaa , kazi yake ni kununua midege cash tu
Acheni ujinga serkali gani ilikarabati shule zote za zamani! Upuuzi hui wa kujingamba mnautoa wapi? Mkapa alijenga shule kibao!Aseme tu kuwa Magufuli alikuwa kichaa , kazi yake ni kununua midege cash tu
" .... rais kajenga madarasa 3000..."Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais @samia_suluhu_hassan ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo ktk Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini.
Niwahakikishie watanzania kuwa @ortamisemi tutazifikia shule shikizi zote zinazokidhi vigezo (nyingine zimejengwa kwenye maeneo ya hifadhi au maeneo hatarishi kama karibu kabisa na machimbo ya migodi) na kujenga miundombinu ya kisasa. #KaziIendelee
Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais @samia_suluhu_hassan ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo ktk Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini.