Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais
@samia_suluhu_hassan ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo ktk Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini.
Niwahakikishie watanzania kuwa
@ortamisemi tutazifikia shule shikizi zote zinazokidhi vigezo (nyingine zimejengwa kwenye maeneo ya hifadhi au maeneo hatarishi kama karibu kabisa na machimbo ya migodi) na kujenga miundombinu ya kisasa.
#KaziIendelee