Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Nimekaa pale nasubilia atavyokuja kutolea ufafanuzi hili tangazo lake, yaani hawa kenge sijui hutumia viungo gani kufikiria impact za wanacho kisema. Wanawaza vigogo wenzao watakavyotibiwa huku wana kunywa kahawa kwenye chumba cha daktari ambaye muda mfupi kawapiga tarehe walalahoi wa tandahimba ili kumuwahi mwenye Noti.
 
Baada ya kumsikiliza Ummy Mwalimu na her misconceived and misplaced directives, nimewaza hili jambo

Kwanini hospital zina mortuary, wana maana gani?

Mbona waganga wa kienyeji hawana?
 
Katika taarifa yake huko Simiyu, waziri Ummi ameonekana na kusikika akitoa ruhusa kwa Madaktari kutumia government facilities kuendesha huduma zao binafsi.

Jambo hilo lina ukakasi na limezua sintofahamu, sababu haliingii kichwani, hata ukijaribu kupunguza ubongo ili ulipatie nafasi bado linakataa.

Namfahamu Ummi, nampenda sana kiutendaji, itoshe tu kusema ninamkubali utendaji wake.

Ninachoamini ni kwamba, either Waziri hakuzingatia maelezo aliyopewa ya utaratibu ulivyo, au hakuelewa vyema, ila vyovyote vile, utaratibu (IPPM) ambao waziri alijulishwa ni mzuri sana na Muhimbili unafanya kazi. Isipokua, siyo kwa namna ilivyokua presented na Waziri Ummi.

Ushauri wangu, Katibu wa Wizara au Chief Medical Officer mmoja wao ajitokeza kuliweka sawa hili jambo. Sioni nia mbaya ya waziri au serikali, bali naona kuna utoaji wa message tofauti na iliyokusudiwa.

I beg to move.
 
Biblos inasema "HAKIKA KUFA MTAKUFA" Na wala hatupaswi kukiogopa kifo.

Wagonjwa wanaugua hospitalini na kushindikana mwishowe hufa. Ulitaka baada ya kifo hospital ifanye nini ?! Kama siyo kumhifadhi marehemu akisubiri utaratibu wa mazishi !!. Kifo kipo na ni kinyume cha uhai. Na vyote vinaenda pamoja.
 
Je ni sawa mahakama kuwa na jela?
 
Bado lile somo la kwamba mgonjwa ni nje
Ukiingia reception unakua mteja wetu haujalielewa? Unauliza la mortuary

Unlike BVM human medicine we don't eat our patients ndo mana kuna mortuary
Ila hospitali za wanyama hazina mortuary sababu mgonjwa akimshindwa daktari anachinjwa analiwa nyama
 
Ufafanuzi zaidi tafadhali
 
Kwani hela inayopatikana unadhani unamlipa daktari hela inaenda serikalini sana sana hapo dr anapewa kiasilimia kidogo tu kwa nini asiruhusu .
 
Halafu kuna watu hufariki huko mtaani
Vipimo vya Postpartum huja kufanyiwa hospital (Mochwari) sie kila anaeenda mochwari alilazwa hospitali
Tuelewane hapo kidogo
 
Back
Top Bottom