Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Halafu kuna watu hufariki huko mtaani
Vipimo vya Postpartum huja kufanyiwa hospital (Mochwari) sie kila anaeenda mochwari alilazwa hospitali
Tuelewane hapo kidogo
the idea ya kuwa na mortuary hospitalini ina presupposes acknowledgement of failure, very threatening
 
Mambo mengine ata kujadili ni tabu.

Hospitali karibu zote za serikali duniani and private zinapambana kuweka standardisation ya huduma zao.

Halafu anatokea waziri wa afya chief decision maker anashauri waajiri wake wanaweza fanya private practice ndani ya hospitali za serikali na kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wao kukwepa msongamano wa masaa ya kazi.

The irony

Shida mtu hana ata abc za medical ethics; halafu sasa anavyoipenda hiyo wizara.

Tushukuru hatuna utaratibu wa kufunguliana kesi za ‘medical negligence’ ndio maana atuoni umuhimu wa kuimarisha huduma za kila siku.

Kwanini tushangae waziri ambae hana uwezo kutoona shida kushauri madokta watoe huduma nzuri katika muda wao mapumziko ndani ya hospitali za serikali.

Haki ya mungu
 
Patient cure is customer lost
Ila usiwaambie watu
Not exactly...

HIpocrate and Glen wouldn't have discovered this profession....

Patient cure is very temporary.. so the customer availability is guaranteed.

Only death make it a permanent customer loss.
 
Amenikumbusha mbali sana. Mwl wa Mathematics. " leo tutaanza na topic ya Trig... bla bla bla.. tukutane kwenye tuition jioni".
Hivi amewaza kuwa watafanya kazi chini ya kiwango na kuwaa appoint wagonjwa wakutane saa zake za private na wagonjwa wasio na uwezo watapoteza maisha kwa kutojaliwa ktk masaa ya kawaida?
Hivi ametumia akili gani au tija gani kwa kutumia resources za umma kwa manufaa ya mtu binafsi?
Ovyo kabisa
 
Kwanza hiyo akili maji ameitoa wapi? Ndio shida ya kusoma vitu tofauti na ajira yako.
 
Akili zote za mawazili zinaanza kufanana kiongozi wao, Rais wao.

Hawajali ndugu zao maskini watapata huduma wapi.
Upuuzi wa mtu asisingiziwe Rais,huyu amerikoroga mwenyewe na sidhani kama litatekelezwa..

Mwisho anatumia ukaribu wake na Rais vibaya.
 
Na sekta nyingine walione hili. Itolewe rukhusa kwa:
1. Polisi kutumia bunduki ktk makampuni ya ulinzi.
2. Walimu watumie madarasa kuendeshea tuition.
3. Maderva wa serikali watumie magari yao kubeba abiria jioni.
n.k
Hahahahah 😂😂
 
Back
Top Bottom