Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Hakuna siku mafuta na maji yaliwahi kuchanganyikana...🤨
Na sio siku nyingi serikali itakuja kujutia uamuzi wake huu...😏
Au kama vipi, Kila mtumishi atumie ofisi ya serikali kujiongezea kipato baada ya muda wa kazi uliopangwa kuisha...😊
Wanatafuta sababu ya kupata support kwa issue ya Dp wodi. Kwamba kama tunabinafsisha bandari kimtindo, basi na hospitali zibinafsishwe kimtindo; dactari ale kwa urefu wa kamba yake!. Hii ndio kula kwa urefu wa kamba.
 
Na sisi walimu tutaanza kutumia shule za serikali kama private schools baada ya muda wa kazi. Daktari na wagonjwa wake mwalimu na wanafunzi wake.
Nyie tayari mbona tution na mitihani ya buku buku watoto wa primary mshafanya sana
 
Mkataba wa bandari utaua watu ni Mwendo wa Mawaziri kutoa boko ili tuhame kuijadili bandari hatuahami ng'ooo
 
Nimewaza kwa huu utaratibu wa Ummy kwa madaktari ufanyike pia kwa walimu. Wakimaliza muda wa kufundisha wa kawaida waanze kufundisha vipindi vyao vya kawaida. Itakuwa poa sana.

Na askari pia muda wao ukiisha zile bunduki wazitumie kwa namna ambayo wataweza zitumia.

Madereva wa magari ya serikali ukipita muda rasmi wa kazi watumie kwa nafasi zao.

Nimewaza sana logic hii ya ummy. Ana elimu gani huyu dada? Uelewa wake kweli ndo upo hivi.
 
DP W imewachanganya, so wanajaribu kila kitu kulainisha huu mzozo, lakini ndio wanazidi kulikoroga.
 
Akili zote za mawazili zinaanza kufanana kiongozi wao, Rais wao.

Hawajali ndugu zao maskini watapata huduma wapi.
 
Back
Top Bottom