Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Wanatafuta sababu ya kupata support kwa issue ya Dp wodi. Kwamba kama tunabinafsisha bandari kimtindo, basi na hospitali zibinafsishwe kimtindo; dactari ale kwa urefu wa kamba yake!. Hii ndio kula kwa urefu wa kamba.Hakuna siku mafuta na maji yaliwahi kuchanganyikana...🤨
Na sio siku nyingi serikali itakuja kujutia uamuzi wake huu...😏
Au kama vipi, Kila mtumishi atumie ofisi ya serikali kujiongezea kipato baada ya muda wa kazi uliopangwa kuisha...😊