kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tujue kwanza hili bandiko umelikopi page gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujue kwanza hili bandiko umelikopi page gani?
Waziri Ummy Mwalimu kwa siku hiyo alimwakilisha Rais katika hafla hiyo, Ujumbe mahususi wa Rais Dkt. Samia ulikuwa ni huo wa dini. Hata hivyo Waziri Ummy Mwalimu alitumia fursa hiyo kuhabarisha umma ulioshiriki kuhusu masuala mbalimbali ya afya ikiwemo kuzingatia mtindo bora wa maisha ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza.
Mkuu,, sasa kwenye mashindano ya kusoma Quran ulitegemee awambie nini .... wote waliokuwepo pale ni Waislam. Wangekuwepo Wakrito halafu akasema hao ningekuelewa.
Kijerumani Zimmermann ni seremala, na seremala yeye ni mbao, nyundo, msumeno na misumari ndiyo ajuayo, ni only great thinkers huelewa wapi waseme nini na kipi kisemwe wapi.
Tovuti za serikali zitumike kwenye issue za serikali kwa sababu sio watanzania wote ni waislamNimeuliza kama ni busara kuhimiza watoto wa wasome dini ya kiislam kwenye tovuti ya serikali
Sina haja ya kuprove itoshe tu kusema watu waliosoma hawana judgemental kama ulizonazo wewe. Mtu mwenye maarifa unawezaje kumhukumu mtu usiyemjua? Waliopita madrasa hawafiki vyyuo vikuu? Wale akina ASAD siyo products za madrasa? Kule mbare Uganda hakuna products za madrasa? Nchi za kiarabu hazina maprofesa ?Hoja yako inaonyesha dhahiri kuwa wewe ni product ya 'madrasa' unless uniprove wrong Kwa kuweka ushahidi hapa
Yupo sahihi kutumia handle ya Wizara ya afya kutoa ujumbe huo mahsusi wa kidini? Binafsi sina shida na waziri kuhimiza wattoto wasome dini ya kiislam. Ni jambo jema. Shida ipo kwene tovuti ya serikali kutumika kutoa ujumbe usiohusina na shughuli zake.Mimi ni Mkristo Safi kabisa ila kwa hili hakuna tabu. Yeye amemuwakilisha boss wake kwenye hiyo shughuli ya usomaji wa vitabu vyao. Sasa ulitaka awaambie watoto wakasome Biblia wakati ni Waislam? Hata Sisi Wakristo tunakazia watoto wasome Elimu dunia na dini pia. Ndiyo maana kuna mafundisho ya Komunio na Kipaimara. Humo watoto wanafundishwa kwa undani dini. Pia mashuleni kuna vipindi vya dini hasa shule za kanisa. Hivyo Ummy yuko sahihi kabisa kwenye hili.
Hakua tatizo na kile alichokisema kwenye kongamano la kidini. Binafsi naona busara haikutumika kutumiaa tovuti ya wizara ya afya kuripoti suala la kidiniMlitaka aseme nini kwenye Kongamano wa Dini?
Me nadhani ametoa Hotuba kulingana na eneo husika.
Wanasema "Ukienda Dodoma Ishi Kulingana na wanavyoishi Wenyeji wa Dodoma"
"Vya Kaisari mpeni Kaisari na Vya Mungu Mpeni Mungu"
Ni busara mngejikita kwenye masuala ya afya na mambo ya dini mngeacha vyombo vingine vishughulike nayo.Waziri Ummy Mwalimu kwa siku hiyo alimwakilisha Rais katika hafla hiyo, Ujumbe mahususi wa Rais Dkt. Samia ulikuwa ni huo wa dini. Hata hivyo Waziri Ummy Mwalimu alitumia fursa hiyo kuhabarisha umma ulioshiriki kuhusu masuala mbalimbali ya afya ikiwemo kuzingatia mtindo bora wa maisha ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza.
Nadhani wamekosea walio ichapisha hiyo habari kwenye website ya Afya.Hakua tatizo na kile alichokisema kwenye kongamano la kidini. Binafsi naona busara haikutumika kutumiaa tovuti ya wizara ya afya kuripoti suala la kidini
Alienda pale kumwakilisha raisi sio kuwakilisha dini ya kiislamuSasa kakosea nini ?? yupo katika hafla ya kiislamu basi anatoa mawaidha ya nayohusu hadhara hiyo.
Kwa hiyo ulitaka atoe mawaidha ya kusema wasome biblia ?? ndo ungeona sawa ?
Mbona kina Philip mpango wanakwenda makanisani na wanawekwa mpaka kurasa za mbele za magazeti hatusemi ?
Acha hizo we zima na hata jina lako tu laonyesha we umezima hujielewi.
Hii Inanikumbusha wakati mzee wetu marehemu mzee mwinyi akiwa raisi wa TZ alihudhuria taarab pale Diamond Jubilee basi mate wangu mmoja akaponda, eti itakuwaje raisi ahudhurie taarab ? nikamwambia wee vp kwa hiyo akihudhuria dansi ndio sawa ?
Tuache ukoloni wa fikra ewe zimmerman
Viongozi pia wana Dini, pili Dini zinaisaidia serikali kuwafanya watu wapungeze matukio hasi. Na usichukulie kwamba ni udini.
Tatizo siyo salamu. Ametoa ujumbe mzuri sana kwa watoto wa kiislam. Tatizo ni kutumia tovuti ya serikali kuripoti suala la kidini. Imagine ngekuwa upande wa pili wanahimizwa waende sunday school na kusoma Biblia halafu iwekwe kwenye tovuti ya wizara fulaniAlienda pale kumwakilisha raisi sio kuwakilisha dini ya kiislamu
Je raisi angemtuma Mkristo kumwakilisha hiyo hafla angesemaje ? Alitakiwa kama mwakilishi wa Raisi atoe salamu kama zisizo za kidini hata kuwaambia wazaxi kupeleka watoto kliniki nk salamu zake hapo katoa kama Ayatollah wa kike sio kama mwakilishi wa Raisi
Hakwenda pale kuwakilisha uislamuTuache gubu. Sijaona kosa. Alikua kwenye hadhara ya wasilamu. Hakuna kosa.
nikipi hapo hujaelewa ewe uzao wa nyoka ? Binti mwalimu alikua katika mashindano ya kidini tena akimuwakilisha mkuu wake
Huyo ni Mnyakyusa mkuu au Mbena au huenda mhehe kabisa sasa unafikir Atasemaje Conclusion Huwa hawawezi..Siyo 'conglution' ni 'conclusion'
Hivi huko madrasa huwa mnaenda kusomea ujinga?
Waziri wa nchi au wa waislamu hasa hapo penye salamu alizotoa official?Ndio ni sahihi, si alialikwa kama Waziri?