Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

Mkuu,, sasa kwenye mashindano ya kusoma Quran ulitegemee awambie nini .... wote waliokuwepo pale ni Waislam. Wangekuwepo Wakrito halafu akasema hao ningekuelewa.
angewaambia wakazane pia kusoma elimu shuleni kama wanavyokazana kusoma kurani
 
Dini inasaidia nini? wao wamepitia huko na ndiyo wezi wakubwa wa mali za masikini wa watanzania
 
Ummy ni mdini sn
Anaangalia upepo uvumako kipindi cha Magufuli ambaye alikuwa mkatoliki, Ummy Mwalimu mwanamke wa kiislamu alikuwa mwasiasa kipenzi katika wanasiasa vipenzi kisiasa wa Magufuli 😄 🤣 😂

Kaja Samia kahamia huko

Nadhani naeleweka.Wanasiasa huangalia upepo unavumia wapi wawe wakristo au waislamu wakiwemo akina Ummy Mwalimu 😂😂
 
Anaangalia upepo uvumako kipindi cha Magufuli mkatoliki alikuwa mwasiasa kipenzi katika wanasiasa vipenzi kisiasa wa Magufuli

Kaja Samia kahamia huko

Nadhani naeleweka.Wanasiasa huangalia upepo unavumia wapi wawe wakristo au waislamu akina Ummy Mwalimu 😂😂
Nakubaliana na wewe
 
Wagalatia bana, wana shida sana
Wgalatia hawana shida. Busara tu itumike maana Wizara ya Afya haina dini. Kiongozi yeyote wa serikali naye hajazuiwa kuhudhuria magongamano ya kidini.

um2.jpg
 
Umeshasema amemuwakilisha Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan sasa suala la Uwaziri wa Afya linakujaje?
 
Umeshasema amemuwakilisha Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan sasa suala la Uwaziri wa Afya linakujaje?
Binafsi sina shida na uwakilishi wake wala ujumbe aliowapa watoto wa kiislam. Shida ipo kwenye kutumia account ya twitter(X) ya wizara ya afya kuelezea mambo ya kidini.
 
Hakuna shida kabisa kuongea hivyo kwenye kongamano,lakini haina afya sana kitaifa kutumia website ya wizara ya afya.
 
Ummy ana mhaho saivi hajui future yake ikoje.

Alimbushwe kulikuwa na akina shamsa mwangunga, maua daftari, Sophia Simba, Ana Abdallah, mwantumu mahiza, Ritha Mlaki na the like.

Kama vipi apumzike. Sio lazima aendelee kuwa Waziri ubunge unamtosha

Wako wenye uwezo zaidi yake tena wenye fani husika katika sekta anayosimamia.

Sio kwa sababu ni mwanamke, Bali uwezo Hana tena apumzike.
Sijawahi ona kazi ya huyu mama ktk wizara anazoongoza.
Lol
 
Alienda pale kumwakilisha raisi sio kuwakilisha dini ya kiislamu

Je raisi angemtuma Mkristo kumwakilisha hiyo hafla angesemaje ? Alitakiwa kama mwakilishi wa Raisi atoe salamu kama zisizo za kidini hata kuwaambia wazaxi kupeleka watoto kliniki nk salamu zake hapo katoa kama Ayatollah wa kike sio kama mwakilishi wa Raisi
Ayatollah ndo nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom