Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

Mkuu,, sasa kwenye mashindano ya kusoma Quran ulitegemee awambie nini .... wote waliokuwepo pale ni Waislam. Wangekuwepo Wakrito halafu akasema hao ningekuelewa.
angewaambia wakazane pia kusoma elimu shuleni kama wanavyokazana kusoma kurani
 
Dini inasaidia nini? wao wamepitia huko na ndiyo wezi wakubwa wa mali za masikini wa watanzania
 
Ummy ni mdini sn
Anaangalia upepo uvumako kipindi cha Magufuli ambaye alikuwa mkatoliki, Ummy Mwalimu mwanamke wa kiislamu alikuwa mwasiasa kipenzi katika wanasiasa vipenzi kisiasa wa Magufuli 😄 🤣 😂

Kaja Samia kahamia huko

Nadhani naeleweka.Wanasiasa huangalia upepo unavumia wapi wawe wakristo au waislamu wakiwemo akina Ummy Mwalimu 😂😂
 
Nakubaliana na wewe
 
Wagalatia bana, wana shida sana
Wgalatia hawana shida. Busara tu itumike maana Wizara ya Afya haina dini. Kiongozi yeyote wa serikali naye hajazuiwa kuhudhuria magongamano ya kidini.

 
Umeshasema amemuwakilisha Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan sasa suala la Uwaziri wa Afya linakujaje?
 
Umeshasema amemuwakilisha Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan sasa suala la Uwaziri wa Afya linakujaje?
Binafsi sina shida na uwakilishi wake wala ujumbe aliowapa watoto wa kiislam. Shida ipo kwenye kutumia account ya twitter(X) ya wizara ya afya kuelezea mambo ya kidini.
 
Hakuna shida kabisa kuongea hivyo kwenye kongamano,lakini haina afya sana kitaifa kutumia website ya wizara ya afya.
 
Sijawahi ona kazi ya huyu mama ktk wizara anazoongoza.
Lol
 
Ayatollah ndo nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…