Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

Duh, hii Safi Sana. Baadae wanaungana na chadema, halafu CCM ya Samia chali.

Hii nimeipenda Sana, najua kushinda hawawezi, Ila wakishamiri CCM itabidi 2025 wa rethink watuletee Chuma Kama mzee baba mwenda zake.
 
Sukuma Gang
 
Tunahitaji vyama zaidi mbadala ili tuwe na chaguo sahihi.

Tumechoka na wachumiatumbo waliopo.
CCM kimekuwa mchumia belly aka tumbo kinara na kwa hili kimeungana kabisa na Chadema Zitto nae akipiga gitaa matakoni kwa chama mboga. Leteni sera kabla ya 2025 dadeki tuwakomeshe
 
Probably itakuwa kitu vizuri CCM, ACT, Chadema wakaungana pamoja wanakubaliana na kuunganishwa na mambo mengi kikubwa kinachowaunganisha, sera yao kubwa ni Anti- Magufuli...
Mkuu wakiungana watabaki na wababe humu JF na mafisadi ambayo yote yanajulikana kiufupi wataangukia pua matako juu
 
Gawa kadi huku kitaani kwetu,

Hatuwelewi Chadema, ccm ndo kabisaa..!
Hiki chama kilikuwa kianzishwe na system toka enzi za Magufuli, ila upepo haukukaa sawa. Lengo la chama hiki ni kuipa ccm ahueni wakati wa uchaguzi. Mpango ilikuwa kujitokeze wanaccm watakaojifanya wana mgogoro ndani nya ccm, kisha wavute watu, ila kifanye upinzani unaotakiwa na ccm. Naona sasa hawa sukuma gang ndio wamekabidhiwa huu usanii wa kuanzisha hicho chama. Ila hizi ni mbinu za kizee ile mbaya.

Cc: Msemaji ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…