Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

Kama kinajihusisha na mawazo machafu ya jiwe basi hakinifai
Wakijitofautisha na jiwe naweza kuwasikiliza hata kwa dakika moja.
Hatuna shida na wapigaji, ni chama cha outetea masilahi ya Tanzania na Watanzania.
 
If true, ulipaswa ufurahi; mbona unaweweseka sasa?
 
Mpo madarakani, tuonesheni huo ufisadi.
 
Hicho chama kitakwama sababu ni wazi kinapingana na team Msoga.

ACT wamejiweka kwa CCM tawala ndio maana kipo

Chadema kipo level zingine, kinakubalika na wananchi wengi kukiua ni ngumu.
Wananchi wa Moshi?
 
Jamani wale wote ambao hawako kwenye lile kundi la CCM Ina wenyewe au unanijua Mimi ni nani? Pangeni foleni kadi ni chache.
 
Jamani wale wote ambao hawako kwenye lile kundi la CCM Ina wenyewe au unanijua Mimi ni nani? Pangeni foleni kadi ni chache.
Hatuwezi kuungana na wauwaji, ni bora hata zimwi likujuwalo.

 
Nihatari Sana kubadili msitu Kwa kuwakaribisha nyani walewale. Muhimu hapa ni kuwatathmini waanzilishi na kuona Muono mbele wao na kama watakidhi vigezo watapata wafuasi wengi vinginevyo usemi wa zimwi likujualo hali Kuli likakwisha utaendelea Kuwa wa muhimu
 
Wanakaribishwa uwanjani. Mpaka wafike level ya chadema Ni miaka ishirini ijayo. Maana Kuna stages lazima upite ili ukamate dola.
Mhhh CHADEMA ! hiyo si ilishakufa zamani wakati li jamaa lilipobadili gia angani
 
Mnadanganywa na nyie mnakubali. Muanzilishi wa chama hicho ametokea AFFP na Wala sio CCM na Wala hawafuati ajenda za Magufuli za kutekana na kuuwana.

Kw nini hata mnapaniki labda ?
 
Mnadanganywa na nyie mnakubali. Muanzilishi wa chama hicho ametokea AFFP na Wala sio CCM na Wala hawafuati ajenda za Magufuli za kutekana na kuuwana.
Angalia nembo ya chama kwenye T-Shirt..
Hii ni ccm part 2
 
Watoe challenge ya kupata logo na rangi zinazovutia. Huwa Ina effect kubwa ktk kuleta mvuto wa Chama machoni. Wazingatie matakwa/mahitaji ya kundi la wapigakura wengi.
 
Mtu aliyeleta ukabila wa kutisha hapa nchini unamjua na unataka tuwaunge mkono wafuasi wake. ha ha ha haaaa
 
Unafikiri watafika mbali?
Hii ni seasonal party,yaani chama cha msimu kama fashion ya mavazi.
Kama kingeanzishwa baada ya mabadiliko ya katiba mpya labda kingepata haki ya kutamalaki.

Na mara nyingi vyama sampuli hizi huanzishwa na taasisi za umma kwa malengo tofauti kabisa ya kuwahadaa wananchi.
 
Uko sahihi 100% lakini mbona UMOJA PARTY hakina shida na mtu.Hii roho mbaya na kukisema vibaya inatokana na nini?
 
Tatizo chuma aliyaumiza sana hayo makundi uliyoyataja hapo kwamba yanamshambulia kwa sasa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…