christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Waulize wananchiKazi gani ulioiona ya Magufuli ambayo haikuwahi kufanywa au haifanyiki baada take?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wananchiKazi gani ulioiona ya Magufuli ambayo haikuwahi kufanywa au haifanyiki baada take?
Umesikia wapi Chadema wameweka picha? Mbona unadandia usivyovijua... swali lilikuwa ukabila wewe picha nani kakuuliza?Hao Chadema wameweka picha ya mwendazake pia?
Waliwekwa na mauti ya msukumaAcha ukabila hao Wa pwani walijiweka wenyewe?
Unamaanisha Yanga au?Waulize wananchi
Mimi ningewashauri waite Chama cha Umoja na Maendeleo (CUM); hapo issue ya kazi (hapa kazi tu) inajumuishwa kwenye maendeleo maana hayaji bila kufanya kazi kwa bidii.Mgeita Chama cha Kazi na Maendeleo - CKM.
Naomba kadi kabisa, tumechoka na hawa washenzi, CCM na upinzani wameungana kuipora nchi.
View attachment 2192755View attachment 2192756View attachment 2192758
Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM 😀😀😀😀
Hawa wanaweza kuwa wakombozi wa Tanzania kutoka kwa hawa wanaoitafuna nchi
Kama ni Magu 100%, nipo pamoja nao!
Hawa wanaweza kuwa wakombozi wa Tanzania kutoka kwa hawa wanaoitafuna nchi
Vyama vipo ishirini na mbili hiki kitakuwa Cha ishirini na tatu.Tunahitaji vyama zaidi mbadala ili tuwe na chaguo sahihi.
Tumechoka na wachumia tumbo waliopo.
Kama ukiwa asset watu watakutumia tu kufikia ndoto zao na watajaribu kuishi kama wewe, unafikiri ni kwa nini PLO Lumumba alihubiri Magulification of Africa, je alikuwa anamaanisha nini?
Hiki chama kinaweza kuwa chama kizuri kama kitakuwa kinaeneza sera na sio chuki, watu wamemis sana kusikia hoja zenye nguvu.
Keep on Going UP.
Ila kwenye hako kajina kako simple sana.
Mgeita Chama cha Kazi na Maendeleo - CKM.
Naomba kadi namba 10 iwe yangu.
Probably itakuwa kitu vizuri CCM, ACT, Chadema wakaungana pamoja wanakubaliana na kuunganishwa na mambo mengi kikubwa kinachowaunganisha, sera yao kubwa ni Anti- Magufuli, chuki kwa kanda flani, kuangalia nyuma awamu ya tano na kutukana na kubeza kila kitu kilichofanywa wakati huo mazuri na mabaya.
Watanzania wote waliobaki ni vizuri wakaungana pamoja waanzishe chama kipya kitakachosimamia maslahi mapana ya Watanzania wote bila kusahau maslahi ya Tanganyika, kuangalia mbele na kuiunganisha, bila kuendekeza ukabila, udini, ukanda, matabaka, matusi, kejeli, mipasho.
Tanzania tuwe na vyama viwili tu imara.
Umewaona wapi?Bado hawajasajiliwa, na inaweza kunyimwa usajili kwa kuanza harakati kabla ya kusajiliwa.
Hoja mfu..UP Kiko n nguvu sana hasa kwa wakulima na wafugaji.Be serious basi, mbona mnapenda kuusema upinzani, halafu Kura mmewapa wengine. Bungeni Ni CCM , halmashauri Ni CCM na wenyeviti Ni ccm lakini bado mnaulaumu upinzani. Mmeichagua CCM ilalamikieni CCM sio kuwabebesha mzigo upinzani ambao hawapi kwenye vyombo vya maamuzi.
Wakihubiri kile wananchi wanataka kusikia watafika mbali.
Alafu hii ajenda ya Sukuma gang wenzenu wanaipenda maana inawapa kibali kanda ambayo bila wao huwezi kushinda uchaguzi. Fanya huo utani makabila mengine sio huko.Umoja party a.k.a. sukuma gang
Mtateseka sana, ila hatuwezi kufanya tena makosa kwani miaka 6 ilikuwa kama miaka 100 tambueni hilo!
Hoja mfu..UP Kiko n nguvu sana hasa kwa wakulima na wafugaji.
Subiri kianze..hadi watamtaja Alie muua Magufuli