Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

Mkuu Mmawia nimekukosea nini? kwa miaka yote hii tumeishi kwa kuheshimiana na kushirikiana leo unaniita kwa majina ya ajabu.Kweli?
Aisee nimecheka sana mkuu Mingoi.
Yaani kuitwa sukuma gang ndiyo nimekuvunjia heshima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata ACT ilisemwa hivi hivi kuwa ni chama cha Kikwete na Membe ila 2020 ACT ilifanikiwa kushirikiana na chama cha upinzani Tanzania, hivyo Umoja party wasisikilize maneno humu wasonge mbele.
 
Mwambie msajili aache usaniii akidhani atatupumbaza. Hicho chama kimeundwa na ccm kwa kushirikiana na Tiss, lengo ni kuipa ccm back up kwenye uchaguzi. Mbinu hizi za kizee za ccm ni kupoteza muda maana wananchi kwa sasa wanauelewa mpana.

Kutatengenezwa mgogoro fake ndani ya ccm ili kukitengenezea hicho chama popularity. Lakini mchezo wote tunaujua tumebaki tunawachora tu.
Sasa ccm wajisumbue kote hivyo kwa ajiri ya nani au nini? Tunaamini ccm hawahitaji hata kufanya kampeni ili kuendelea kubaki madarakani sasa hayo ya kuanzisha chama kipya na kufoji migogoro ili iweje?
 
tawi la ccm kuelekea 2025 kimeundwa kimkakati kuwatoa wapinzani kwenye focus hasa chadema
Chadema kwa sasa haina ushawishi wowote kwa wananchi.kilishapoteza focus mapema mmno,leo chadema wanaona kupambana mtu kama makonda na sukuma gang kutawapa political milage kuliko kuzungumzia upandaji ovyo wa bei za bidhaa.
 
Sasa ccm wajisumbue kote hivyo kwa ajiri ya nani au nini? Tunaamini ccm hawahitaji hata kufanya kampeni ili kuendelea kubaki madarakani sasa hayo ya kuanzisha chama kipya na kufoji migogoro ili iweje?

Kuzuga wazungu wakati wa kutembeza bakuli.
 
Chadema kwa sasa haina ushawishi wowote kwa wananchi.kilishapoteza focus mapema mmno,leo chadema wanaona kupambana mtu kama makonda na sukuma gang kutawapa political milage kuliko kuzungumzia upandaji ovyo wa bei za bidhaa.
Kupanda kwa bei za vitu wananchi wanajua kwamba ccm wameshindwa kazi,na kupanda kwa bei za vitu kwanini unataka chadema waizungumzie kwani ccm hamuoni au nyie haiwahusu
 
Kuzuga wazungu wakati wa kutembeza bakuli.
Hao wazungu si ndio tunasemaga wanayajua vizuri mambo yanayoendelea nchini kwetu? Ina maana ccm huwafanya wazungu wajinga miaka yote na kuchukua hela zao?
 
Hao wazungu si ndio tunasemaga wanayajua vizuri mambo yanayoendelea nchini kwetu? Ina maana ccm huwafanya wazungu wajinga miaka yote na kuchukua hela zao?

Hawaruhusiwi kuingilia mambo ya ndani.
 
Unajua sera zetu zinaendana mrengo wa falsafa za yule anayeonekana katika picha (Hayati John Magufuli) kwenye fulana. Ni harakati za kujitangaza kwa wananchi na hatuna nia mbaya. Kama ni kosa kisheria basi tupo tayari kujirekebisha," amesema.
Li chama la majitu yasiyojielewa! Yanafikri watanzania wote walikuwa wanamkubali?
 
Kupanda kwa bei za vitu wananchi wanajua kwamba ccm wameshindwa kazi,na kupanda kwa bei za vitu kwanini unataka chadema waizungumzie kwani ccm hamuoni au nyie haiwahusu
Kwaiyo unaona ni bora kupambana na makonda ili mpate kuungwa mkono[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom